Mbatia ni Mbunge Maalum wa kazi Maalum.

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
Kikwete amemteua mbatia aende bungeni akafanye kazi maalum ya kuharibu upinzani. Wabunge vijana wa NCCR mageuzi walikuwa wanafanya kazi nzuri kama wabunge waupinzani na walishaanza kujenga mahusiano mazuri na CHADEMA. Kwakuwa mbatia ni mtu maalum na anakazi maalum imebidi kikwete ampe ubunge maalum ili akafanye kazi maalum bungeni. Tusubiri tutaona maneno yake na msimamo wake kama hautatofautiana na vijana wachapakazi wa Kigoma.
 
Uchaguzi wa ndani wa NCCR nadhani utakuwa mwakani, ngoja tusubiri tuone kama watamchagua tena.
 
Well angalikuwa na busara angali jiondoa kwenye NCCR akamtumikia JK .Maana atawasumbua sana wenzake kwa kuwa hana uwezo wa kuwatumikia mabwana 2 lazima afanye kazi moja ambayo inamoa ulaji direct na hana thamani na sauti tena mbele ya wana mapinguzi wote na siku ana anaapishwa ukumbi utazizima ile mbaya kwa maneno yao ya CCM CCM kama huamini you just wait you will see
 
Kachelewa sana,kina Lissu watamshughulikia hadi aone aibu mwenyewe,hili si bunge la ukibaraka ataumbuka sana
 
nakumbuka sana shutuma za kafulila to mbatia sasa naona ukweli wake
Kikwete amemteua mbatia aende bungeni akafanye kazi maalum ya kuharibu upinzani. Wabunge vijana wa NCCR mageuzi walikuwa wanafanya kazi nzuri kama wabunge waupinzani na walishaanza kujenga mahusiano mazuri na CHADEMA. Kwakuwa mbatia ni mtu maalum na anakazi maalum imebidi kikwete ampe ubunge maalum ili akafanye kazi maalum bungeni. Tusubiri tutaona maneno yake na msimamo wake kama hautatofautiana na vijana wachapakazi wa Kigoma.
 
Kwa ninavyofahamu mimi unadhoofisha kitu kilicho imara, sasa hao wapinzani wenyewe ni dhoofu awadhoofishe ili waweje?

Wapinzani wako imara. Atakachofanya Mbatia ni ku sabotage juhudi za kuimarika zaidi. Lakini nadhani it is too little too late. CCM bye bye
 
kwani kafulila hakuliona hilo? aliliona ndo mana alimchana akasema "mwenyekiti wangu c mpinzani"
 
Back
Top Bottom