Huhitaji kuwa na degree au kuwa mtabiri kujua saa ccm inaanguka.Vifuatavyo ni viashiria. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huhitaji kuwa na degree au kuwa mtabiri kujua saa ccm inaanguka.Vifuatavyo ni viashiria.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, May 7, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,034
  Likes Received: 37,810
  Trophy Points: 280
  Sababu hizi ndio msingi wa kauli yangu:-
  (1)Wimbi la wanachama wa ccm kuhamia chadema.
  Hii ni ishara mbaya ya kutokuwa na imani na chama na kukata tamaa.
  (2)Mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri.
  Hoja hapa ni kuwa msingi wa mabadilko haya ni wahusika kushindwa kuwajibika na utendaji wa kutia aibu wenye harafu ya rushwa.Imani ya watanzania inazidi kushuka na ni kuendelea kupoteza kuungwa mkono.
  (3)Kupungua kwa idadi ya wapiga kura.
  Tukumbuke kuwa ccm ndio chama tawala na watu kutokupiga kura licha ya kujiandikisha maana yake ni kuwa wamekatishwa tamaa na hao bila shaka walikuwa wapenzi wa chama tawala na sasa wanaweza kukihama au kuendelea kutokushiriki kwenye uchaguzi.Hapa kura zinaendelea kupotea.
  (4)Falsafa ya kujivua gamba.
  Kwa mtazamo wangu hili lisipotekelezwa itajenga taswira kuwa hamkua serious na hamchukii ufisadi.Huu utakuwa maji mkubwa kwa wapinzani wa kuwamaliza kwenye uchaguzi.
  (5)Mijadala inayoshika kasi maofisini,mitaani,kwenye vyombo vya habari na kwingineko yote ikionyesha kukosa imani na watawala na wengi kutaka mageuzi.
  (6)Kukosekana mtu mwenye ushawishi na mwenye kukubalika atakaeweza kukibeba chama yeye kama yeye.
  Msingi wa hoja hii ni kuwa baada ya marehemu baba wa taifa kufariki hakuna kiongozi mwingine asiye na kashifa na mwenye ushawishi na kupendwa kama baba wa taifa.
  (7)Dalili za kukata tamaa.
  Athari ya hili ni kushindwa kushikamana na kuwapa nguvu wapinzani.Kumbukeni kauli ya mheshimiwa Zambi ktk bunge lililopita la kuwaonya wanaccm wenzake juu ya uwezekano wa kushindwa vibaya ktk chaguzi zijazo.
  (8Ukweli kuwa vijana wengi wa leo kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu ni washabiki wa chadema na wengi wao hawana ajira mitaani na hasira yao ni kuwanynima kura 2015.
  Nawasilisha.
   
 2. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  CCM, kwa mtindo wowote ule haiwezi kufa wala kufifia. Iko ngangali si mchezo. maeneo kibao watu wanawashangaa jamaa wakiwa wamevaa combat za khaki za kijeshi. Wnauliza kama kuna vita vinatarajiwa kushuka. Combat inaiua Chadema. Itakufa.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Magamba at work
   
 4. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  sasa kwanin wavae magwanda?
  Mbona vyama vya upinzani viko vingi sana ndan na nje ya nchi hatujaona wala kuskia style hii,wao wanafanya siasa,wafanye siasa,walete mageuzi sawa kbs,,
  sasa hii falsafa ya magwanda,uharakati wa mapambano ishara yake ni nin hasa??
  Ktk hili lipo la kujifunza pia
  kenge siku zote hufuata safari za mamba bila kujua destination ni wapi...
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nasikia wanauza majengo yao mbeya..magamba bwana
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Waambie hao vilaza, wanadhani kujaza makapi yaliyoshindwa kukaa chama makini(Ccm) ndiyo kuchukua nchi?.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 7. K

  Katalyeba Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimeamini kuna watu hawajua kuwa CCMm imekwenda na maji, Jahazi limetoboka. Waibe wasiibe hii ndo kiama chao.

  Wakati wa mabadiliko ni sasa.
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  RIH (Rest in hell) ccm
   
 9. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yote haya yanayotokea ni dhabi ya ccm kuchakachua kura za wananchi 2010, JK hakushinda ule uchaguzi ndio maana akikaa pale Ikulu anaona Maruhani yanamsumbua (Ref. Lukuvi). Kwa hali ilipofikia sasa, ni swala la muda tu, CDM kuchukua nchi... Mungu Ibariki CDM, Mungu walaani ccm, Mungu mlaani JK na NEC kwa kuiba kura zetu..
   
Loading...