Ndugu zangu,
Kama mtego ule wa panya, tutafanya makosa makubwa kama kuna watakaodhani, kuwa haya ya watu kuchinjwa na kujeruhiwa na mapanga yatawakuta watu wa kundi fulani tu. Tukiacha...
Nimekusudia kuuliza hili swali kwani huyu mtu kila uteuzi yeye anasema ni mzuri na mwisho wake utasikia oooh watu aliochagua Rais wanamuangusha, nilimfuatilia sana yeye kila leo kitu kinachofanywa...
Nimesikia toka taarifa ya habari toka star tv eti serikali imetangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria MKUCHIKA na Lazaro Nyarandu kwa kuhusika na ubadhirifu hata kama wameteuliwa tena kuwa...
Wangelivua gamba ( kama walivyowaaminisha wananchi hapo awali) hadithi ingelikuwa nyingine kabisa.
Vyama vya Upinzani vingepata shida kidogo kujenga hoja ya kuiondoa CCM madarakani. Yale maamuzi...
inakuwaje pale ambapo rais anamteua mtu kutoka kwenye private entity, tena wa kada ya kawaida/chini. Amemfahamia wapi? kama sio kwenye vijiwe visivyo rasmi. Na zaidi kumsaidia katika kazi ambayo...
Hotuba zake tatu za hivi karibuni zimejaa manung'uniko na malalamiko ya mtu ambaye haeleweki, hapendwi, hasifiwi au ambaye hashukuriwi. Hotuba yake kwa wazee wa CCM wa Dar-es-Salaam baada ya...
Mi napata shida kwa mbunge wa shinyanga mjini aliyeteuliwa naibu waziri nishati na madini atafanya kazi kwa aman kweli ambapo toka uchaguzi wa 2010 hajakanyaga shinyanga na ukitizama migodi muhimu...
Baraza la Mawaziri la sasa,
2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)...
MBUNGE wa viti maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa amekanusha uvumi ulioripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kuwa anatarajia kukihama chama hicho...
Wadau,
Kuna tetesi kutoka vyanzo vya kuamini kutoka ndani ya jeshi la polisi Arusha kuwa huenda Mbunge kijana wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari aliyeibuka mshindi dhidi ya mgombea wa chama cha...
Waheshimiwa wana 'Athens'
Ninajitokeza kuuliza tangu vita ya ufisadi ianze ni kesi ngapi zimekatwa na watuhumiwa kufilisiwa? Kama hakuna what is the future of this country? Nawasilisha
Akichezesha taya na mwandishi wa TBC1 Marin hassan,dr benson bana alitamka wazi kabisa kwamba tatizo sio mawaziri wapya bali ni mfumo mzima wa uteuzi,alisitiza kwamba tutapoandika katiba mpya...
Katika mchakato wa katiba wa kukusanya maoni,wananchi hawaruhusiki kutoa maoni kuvunja muungano zaidi ya kurekebisha au kutoa maoni muungano uboreshwe zaidi.
Suali :
Je ikiwa wananchi watatoa...
Je unafahamu kuwa kifo cha reli na meli za mizigo katika ziwa Victoria ni biashara ya maroli na kampuni za usafirishaji za wakubwa ulio nao serkalini? Ukijaribu kufufua usafirishaji kwa njia ya...
The European Union will today hold a round table discussion in Dar es Salaam to project the way through which the EAC regional integration will play a beneficial role amongst member states...
Wilaya ya Ngorongoro: Ndugu wana JF hasa wale wafuasi wa chama makini (cdm) nimebahatika kutembelea kwa ujumla ktk wilaya hii. Wilaya hii ina tarafa tatu(Loliondo, Sale, na Ngorongoro). Hakika...
MSIGWA, SUGU, SILINDE WA WASHAMOTO NYANDA ZA JUU KUSINI.
Mch. Msigwa akizungumza na wananchi wa Makambako kwenye mkutano.
Msigwa akiendesha harambee yakuchangia chama.
Boks...
Ikulu imetoa taarifa kukanusha kuhusika kwao kwenye biashara na Home shopping centre.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la kila wiki la Dira ya Mtanzania toleo la leo, Jumatatu, Mei 7...
Kwa kweli nimesikitika kutoswa kwa Mh. Nundu na kuachwa kwa Prof. Maghembe.
Hivi kweli ana justify vipi mchele kufikia shilingi elfu 3000, korosho kukosa soko, mbolea feki, mazao kuozea shambani...