Teuzi za rais

Posa

Member
Nov 12, 2010
76
79
inakuwaje pale ambapo rais anamteua mtu kutoka kwenye private entity, tena wa kada ya kawaida/chini. Amemfahamia wapi? kama sio kwenye vijiwe visivyo rasmi. Na zaidi kumsaidia katika kazi ambayo profession yake.
 
Huwezi jua wamekutana wapi, si unajua mutu ya musoga ni kipezi ya watu especial hiyo jinsia....
 
Unashangaa nini wewe, hadi leo wapo watu ni Wakuu wa Wilaya, Directors, RCs walitoka vijiweni na sasa wanafanya kazi za serikali.
 
Back
Top Bottom