Kwa mhe: Mwakyembe

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
Je unafahamu kuwa kifo cha reli na meli za mizigo katika ziwa Victoria ni biashara ya maroli na kampuni za usafirishaji za wakubwa ulio nao serkalini? Ukijaribu kufufua usafirishaji kwa njia ya reli na meli wataku Kolimba kabisa!! Watu wana fleet ya semi mpaka 100 na zaidi unafikiri watakubali magari yao yapaki ili ufufue uchumi na maendeleo ya common man????
 

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,696
2,000
unadhani hajui? Anajua huyu. Shida ni kwamba hawezi kuwaangusha wakubwa wake wa kazi na hapa ndipo ugumu wake wa kazi utakapoanzia! Anyway ameshashindwa! Ngoja tuone kama tunatabiri uongo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom