Hii ndio idadi ya kesi za kifisadi zilokamilka na watuhumiwa kufilisiwa

Status
Not open for further replies.

Manager

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
531
73
Waheshimiwa wana 'Athens'
Ninajitokeza kuuliza tangu vita ya ufisadi ianze ni kesi ngapi zimekatwa na watuhumiwa kufilisiwa? Kama hakuna what is the future of this country? Nawasilisha
 
Mkuu, heading na contecnt ya ujumbe wako haviendani, nenda kajipange, after all sio lazima uanzishe thread...
 
Waheshimiwa wana 'Athens'
Ninajitokeza kuuliza tangu vita ya ufisadi ianze ni kesi ngapi zimekatwa na watuhumiwa kufilisiwa? Kama hakuna what is the future of this country? Nawasilisha
Ah we vipi? Heading:Hi ndio..........halafu Ndani:Najitokeza kuuliza.................Jaribu kusoma kitabu cha common nonsense in Kiswahili.
 
kweli kbs kama umeniboa heading imenivutia kumbe uozo....si lazima uanzishe uzi unaweza ukawa msomaji kama una cha kuandika
 
Nikakimbilia kufungua kupata list kumbe hola. Kweli JF imeshuka hadhi cku hizi
 
Mnaboa sana nyie wadandia treni,we kama hujui kitu nyamaza,kuna wengine wanajua watamjibu ,msigeuze apa kijiwe cha ma dovoo wa kiswazi,
 
Mnaboa sana nyie wadandia treni,we kama hujui kitu nyamaza,kuna wengine wanajua watamjibu ,msigeuze apa kijiwe cha ma dovoo wa kiswazi,

Mjibu basi kama alikuwa anauliza! Siyo anasema ngoja nkwambie halafu anakuuliza ww, nawe chombo kisicho na makali!
 
Mjibu basi kama alikuwa anauliza! Siyo anasema ngoja nkwambie halafu anakuuliza ww, nawe chombo kisicho na makali!

kila mtu angekuwa mwalimu cjui ingekuwaje,anaitajika mjinga ili kuwe na mwerevu pia,waswahili mnasemaga kichaa akikuibia nguo ukamkimbiza wewe ndo utaonekana chizi!nilitegemea baada ya muulza swali watu wangejibu badala yake majungu kama ivi
 
JF imevamiwa na waandishi wa magazeti ya udaku!!! Well done!! Habari za kuaminika JF. Zazidi kushuka siku hata siku,kweli mpanda ngazi hushuka...!
 
Tanzania wengi elimu yetu ni shule za kata.nyie mliosomeshwa ulaya kwa pesa za kifisadi yafaa mtuelemishe, ilikuwa ni jambo la kumelemisha abadili heading sasa nashangaa mapovu meeengi hadi tumekosa uhondo,
 
waheshimiwa wana 'athens'
ninajitokeza kuuliza tangu vita ya ufisadi ianze ni kesi ngapi zimekatwa na watuhumiwa kufilisiwa? Kama hakuna what is the future of this country? Nawasilisha
jamani mbona watoa hoja mnakua wakali hivi? So far hakuna hata moja kama zipo nijulsiheni! Hii inaonyesha hakuna matumaini mpaka 2015 ambapo cdm itachukua ikulu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom