Wangelivua Gamba: Hadithi ingelikuwa nyingine kabisa

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
Wangelivua gamba ( kama walivyowaaminisha wananchi hapo awali) hadithi ingelikuwa nyingine kabisa.

Vyama vya Upinzani vingepata shida kidogo kujenga hoja ya kuiondoa CCM madarakani. Yale maamuzi yalikuwa sahihi na jinsi Nape alivyoanza kuwasha moto kipindi kile, loh! hali ingekuwa tofauti kabisa.

Nina imani hata Igunga wansingeshinda kwa taabu, Arumeru mashariki wasingeshidwa kirahisi vile, idadi ya madiwani na viongozi wa mitaa wa vyama vya upinzani wasingeongezeka.

Wewe unasemaje kuhusu hili ?
 
it is late

the damage has reached the vital organs

if you had taken EL, Chenge out then

sasa mngekua mbali sana
Hii hatua ingewasaidia ingawa tatizo hakuna aliyekuwa ana uhakika na kile anachokisema kuhusu dhana ya kujivua gamba. Matokeo yake kila kiongozi mmoja akawa anatoa ufafanuzi wa kujivua gamba tofauti na mwenzake hasa pale walipoona watuhumiwa wamedhamiria kumwaga mboga kama wao watamwaga ugali
 
Siku zote tatizo la CCM limekuwa moja, yaani wanasema moja na kumaanisha lengine! Maisha

bora kwa kila mtanzania wakimaanisha maisha bora kwa wachache, kwamba wanawapenda

wananchi wakati wanawaua kwa mabomu, kwamba hawapendi rushwa kumbe wanaitumia

kushinda, kwamba wanapinga udini wao namba moja, unafiki huu ndio utawaua! in fact unawaua!
 
na kamwe hawatauacha
 
We are down at the moment but not out kaka

Good determination Makupa, lakini kwa sasa ili mudhihirishe hamko out inawabidi mkate kichwa cha nyoka wala sio kuvua gamba tena, na kama mtakuwa na ujasiri huo na kuahakikishia mtakuwa 'in' bila purukushani zozote.
 
Last edited by a moderator:
...hata chama kisingekuepo tena maana wote ni wale wale tofauti viwango tu.
 
Walíingia cha kike kwa sababu aliyeanzisha hiyo sarakasi yaanì jk ndo GAMBA IMARA Ndanì ya chama cha magamba
 
Hakuna lisilokuwa na mwisho, ccm has to go. Chama kimebaki cha wazee na wototo wa vigogo unadhani kina miaka mitano mbele? Piga ua galagaza kitakufa tu maana kama wanachama wanazeeka na hakuna vijana wanakuja nyuma Unategemea nini?

Waulizeni report za uchaguzi wao wa machina na matawi unaoendelea kama wanapata watu wakuhudhuria. Wengi wamekosa watu wa kupiga kura wakaamua kuendelea tu wao wenyewe. Mfano mzuri ni balozi wao wa maeneo ninayoishi ameitisha mkutano wa uchaguzi mara nne, sijui ameamuaje maana alikuja kwangu mara tatu akawa ananikosa na ya nne akanikuta akawa anadanganya kuwa ni uchaguzi wa mjumbe nilivyombana kuwa mbona uchaguzi wa serikali za mitaa ulishapita huyu mjumbe tunayeenda kuchagua ni wa ccm au serikali? Akadai hata yeye hajui nifike tu kwenye kikao tutajua hukohuko. Sikwenda na sijui kilichoendela.

Poleni maana hamna namna ambayo sisiemu inawezakujihuisha tena!
 
hakuna lisilokuwa na mwisho, ccm has to go. Chama kimebaki cha wazee na wototo wa vigogo unadhani kina miaka mitano mbele? Piga ua galagaza kitakufa tu maana kama wanachama wanazeeka na hakuna vijana wanakuja nyuma unategemea nini?

Waulizeni report za uchaguzi wao wa machina na matawi unaoendelea kama wanapata watu wakuhudhuria. Wengi wamekosa watu wa kupiga kura wakaamua kuendelea tu wao wenyewe. Mfano mzuri ni balozi wao wa maeneo ninayoishi ameitisha mkutano wa uchaguzi mara nne, sijui ameamuaje maana alikuja kwangu mara tatu akawa ananikosa na ya nne akanikuta akawa anadanganya kuwa ni uchaguzi wa mjumbe nilivyombana kuwa mbona uchaguzi wa serikali za mitaa ulishapita huyu mjumbe tunayeenda kuchagua ni wa ccm au serikali? Akadai hata yeye hajui nifike tu kwenye kikao tutajua hukohuko. Sikwenda na sijui kilichoendela.

Poleni maana hamna namna ambayo sisiemu inawezakujihuisha tena!

yes, let them die...we shall enjoy the fruits of our independence....
 
Back
Top Bottom