Eti CHADEMA iko kaskazini tu? Ona mambo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti CHADEMA iko kaskazini tu? Ona mambo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamandamakini, May 7, 2012.

 1. k

  kamandamakini Senior Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [h=3]MSIGWA, SUGU, SILINDE WA WASHAMOTO NYANDA ZA JUU KUSINI.[/h]  [​IMG]


  [​IMG]
  Mch. Msigwa akizungumza na wananchi wa Makambako kwenye mkutano.  [​IMG]

  Msigwa akiendesha harambee yakuchangia chama.


  [​IMG]
  Boks likipitishwa kwenye umati wa watu mkutanoni kuchangia fedha za kuendeshea chama.

  AWALI UFUNGUZI WA TAWI.

  [​IMG][​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  kabla ya mkutano wabunge hawa waliweza kufungua tawi la chama.

  KATIKA MKUTANO  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
  umati wa wananchi wa makambako wakimsikiliza mh. msigwa.


  [​IMG]
  chademaaaaaaaa? kamatamwizi meeen!
  ndio msemo walio utuma sana waunge hawa wachadema katika mkutano huu nakuwaacha hoi wananchi wa maka


  source:Mbunge Wako Iringa Mjini
   
 2. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hii imekaa vyema
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  naona watoto badala ya kwenda shule wanaingiziwa pumba kichwani
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kamandamakini na Mwakalinga,
  Kuna mdau mmoja wa JF alisema kwamba 'Ukiona umemshika Kibaka Shingo alafu unaskia analialia mara Oooh mbona hunishiki na kiuno basi ujue loba imekubali, endelea kumshikilia. Lakini ukimshika mkono ukaona yupo kimya basi ujue umeliwa. Any time anaweza akakuponyoka. Sasa wenzetu hawa Magamba tumewashika Shingo wanaanza kulialia Ooh mbona hamuendi Zanzibar? Wajinga kabisa.

  TUMBIRI wa JF,
  P.O BOX PM JF.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  aliyesema wako kaskazini tu ni nani?
   
 6. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ITV wameionyesha vizuri sana hii habari...

  Hadi raha kwa kweli............ dah noma!!
   
 7. B

  Bubona JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huwafahamu?!!!!
   
 8. joramjason

  joramjason JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Shule hzn walimu so ni br wapate elimu dunia.
   
 9. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Iko vzuri!!
   
 10. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa akili za Rejeo, Kungurumweusi na Ritz, pengine Makambako ni wilaya ya Arusha iliyoko mpakani na Kilimanjaro.....

  Acha wasubiri na kungoja huku wakiamini kuwa ccm itatawala milele....Iringa ni moja ya mikoa yenye watu wengi sana...kama tukifanikiwa Iringa, ccm inabaki na Dodoma, Tabora na wapi tena....?? Maana Pwani tunagawana, Dar tunagawana, Tanga tunawaachia CUF, LINDI, MTWARA tunagawana....wapi watabaki? labda unguja......kazi kweli kweli....
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  mulika mwiziiiiiiiiiiiii
   
 12. M

  Mughwira Senior Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kweli wewe kunguru mweusi! Mbona hapa elimu wanayoipata ni zaidi ya darasani kusiko na madawati wakati mbao zinatoka maeneo yao? Unajua somo la uraia?
   
 13. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizi picha ziko poa zaidi ya zile za jana!!

  Heko Kamandamakini!
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,236
  Trophy Points: 280
  Jamani haya mswali mbona kila siku yana jirudia??Mbona CCM ilianzia Tabora mbona hilo hamsemi??the long we go itafika kusini na mashariki,na magharibi!!Ila ushauri wangu Mods wawe wanawekea button kama thread imejirudia watu wapress button ikifikia zaidi ya watu 20 ifutike automatically!
   
 15. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 16. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,023
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Imekaa vizuri. Naam ni nzuri kimkakati
   
 17. A

  ADK JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,147
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Na magamba waliotimuliwa uwaziri wajue 2015 hawana chao, majimbo yote yanakwenda kwa cdm
   
 18. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  It really warms my heart!
   
 19. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145

  Magamba walikuwa wanafikiri kuwa wao wamepewa hii nchi na Mungu wafanye watakavyo ila mambo yameshabadilika. Wanakumbuka shuka wakati kumekucha
   
 20. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pamoja makamanda.
   
Loading...