Suali : Turekebishe hapa wana JF. Tume Ya Katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suali : Turekebishe hapa wana JF. Tume Ya Katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHIBUU, May 8, 2012.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Katika mchakato wa katiba wa kukusanya maoni,wananchi hawaruhusiki kutoa maoni kuvunja muungano zaidi ya kurekebisha au kutoa maoni muungano uboreshwe zaidi.

  Suali :
  Je ikiwa wananchi watatoa maoni kuwa muungano hawautaki Tume Ya kukusanya maoini ya wananchi watayaheshimu maaamuzi hayo ? JK na Tume yake watakabiliana nayo vipi haya kama wananchi watatoa maoni kuwa muungano tumeuchoka na hatuutaki ?
   
Loading...