Dr Benson Bana ni nani kwa Nchi hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Benson Bana ni nani kwa Nchi hii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mboko, May 6, 2012.

 1. M

  Mboko JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nimekusudia kuuliza hili swali kwani huyu mtu kila uteuzi yeye anasema ni mzuri na mwisho wake utasikia oooh watu aliochagua Rais wanamuangusha, nilimfuatilia sana yeye kila leo kitu kinachofanywa na CCM au serikali yake lazima aseme ni uamuzi mzuri sasa nashindwa kumuelewa, huu U Dr wake kaupata wapi??Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi anashindwa kusoma alama za nyakati mapema amekalia tu kusifu,sasa hapa huu mzigo wa baraza la Mawaziri kutoka 50 mpaka 55 bado tu anasema ni uteuzi mzuri ama kweli hawa Wasomi wa Bongo ni vituko vituko tu.
  Hivi inakuwaje waandishi wa habari wamfuate kupata maoni mtu kama huyu anayeitwa Benson Bana wakati kuna wasomi wazuri tu zaidi yake huyu mtu anashindwa hata na mwanafunzi wake wa mwaka wa kwanza ambaye anachukua kozi ya Uongozi ifike wakati waandishi wa habari wajaribu kufuata watu wengine na sio huyu Bana kila siku.
  Pia ningeomba tu ushauri kwa mustakabali wa Taifa letu hebu tuweke mambo ya siasa nje kidogo na kulinda ajira maake nimeona watu wengi sana especially watu wa Dar es Salaam ni wanafiki sana inapofika wakati wa kulinda maslahi ya Taifa wako radhi wakubali madudu ili walinde maslahi yao wakati hali hii ndo inarudisha maendeleo ya Taifa letu nasema hivyo kwa kuwa hawa wanaojiita wasomi wanaoishi Dar es Salaam wako hivyo wakati wanajisahua kuwa kama watapigania maslahi ya Taifa hata hao wanyewe watapunguza ule utegemezi ambao familia zao nyingi zinawategemea wao wamekalia kusifu kila kitu kinachofanywa na Serikali.
  Sasa kinachotakiwa hapa kama kweli wengi wao wanasifu uteuzi huu wa mawaziri basi wakomae na kushurutisha wale wote waliofukuzwa kama Mawaziri na ambao wataendelea kufukuzwa basi wafikishwe mahakamani na sio aaah baraza limekaa vizuri.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ni kibaraka wa jk na anampigia debe in the name of redet. Prof Mkandara alianzia huko akawa bosi udsm. Ndio maana anapambana apate nafasi kama mwenzie.
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dar wote wanaojifanya wasomi ni wanafiki na ndio mkoa unahujumu mapinduzi ya kweli.

  Sashangai magazeti yanamfata huwa ni Jambo Leo, Uhuru na Habari Leo magazeti mengune hawawezi mfata.

  Na TV huwa ni Channel Ten na TBC
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Dr bana ni mmoja wa majambazi wakubwa wa ccm ambao wamelifikisha taifa mpaka hapa 2lipo.
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni Mchumia tumbo ambaye amekosa mvuto siyo kwa wanafunzi,Wakufunzi wenzake,media makini bali hata wananchi kwa ujumla!Mpotezee tu.......Atakufa nao!
   
 6. mtalae72

  mtalae72 Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Benson Bana ni Kibaraka wa CCM kama walivyo watendaji wengi walioko serikalini na usalama wa Taifa. Wanabaki kusifia kusubiri kutupiwa chochote ili nao watumbue nchi kama hao waliopo. Siyo makosa yake lakini, kwa kiasi fulani ni hulka ya binadabu kupenda kufuata makandokando yanayopatikana kirahisi.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ni vuvuzele la jk.
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  aisee huyo jamaa jina lake linafanana na bunsen burner kile kifaa kwenye chemistry laboratory...ndio yeye aliyekigundua nini...:whip:
   
 9. c

  change we need Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nafikiri kama mawazo yako yanataka kufanana na ya kwangu!!! nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu huu mtu DR.Benson Bana, baada ya Mkandala kuukwaa uongozi kama vice chancellor pale mlimani kupitia REDET(Kusifu Mgamba)na baada ya MTU MWENYE JINA GUMU aliyeteuliwa tume ya warioba sijui Palamagamba Kabudi..(ambaye nae ni mchumia tumbo) huyu Dr Bana amekuwa akijionyesha waziwazi ili angalau aambulie chochote..kifupi ni mchumia tumbo anasifu kila kitu.Nataka nimpe Dr ushauri wa bure its too late Dr!! think of the alternatives you missed the train 1hr!!
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Bana = Nape. wote ni mavuvuzela...
   
 11. ALOYCE MPANDANA

  ALOYCE MPANDANA Senior Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 170
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  sasa ulitaka ufwatwe wewee.tataizo letu watanzania wengi tunataka mtu asiseme ukweli halisi wa mambo.mtu hadhi ya bana ni msomi wa kiwango cha juu na ndio sababu mlimani wamempa aongoze idara muhimu.hao wasomi wengine unaosema wafuatwe malingo mengi na visomo vyao hawtoiushirikiano na waandishi wa habari sasa kwa nin Dr Bana asiwe chanzo kikuu cha maswala ya siasa kwa waandishi wa habari.RAI YANGU KWA JF...lazima jamani tuwe na ustahimili wa ma,bo ambayo wenzetu wanayasema hata kama yanatukera hasa wakati huu tunapohanza mchakato wa kupata KATIBA MPYA.ASANTE
   
 12. ALOYCE MPANDANA

  ALOYCE MPANDANA Senior Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 170
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Wewe je nani?
   
 13. e

  emkey JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jina lako la mwisho ni mpandana au kupandana? sijakupata vzr shosti..
   
 14. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Dkt Bana ni mkuu wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala.Katika taasisi za Elimu ya Juu,huwa kuna utarabu ama vigezo vinavyotumiwa kupata wakuu wa Idara.Moja ya taratibu ama vigezo hivyo ni uwezo wa kuongoza wanataaluma wenzake katika Idara,kiwango cha elimu na uzoefu wa mhusika.Hayo ni mambo ya ndani ya vyuo na hatuwezi kuyajua,angalau naamini kuwa wateuzi wanaelewa kuwa jamaa ni mzamivu.Sisi wananchi hatuwezi kuhoji taaaluma yake.Wasomi wenzake waliokubali kumpa PhD wanajua uwezo wake.Kuna mchakato mgumu unaofuatwa kwa mtu kuweza kupata PhD.
  Sisi, huku mitaani, tumezoea kupima mtu kwa uzito wa hoja anazoibua na kuangalia iwapo zinaendana na kile tunaamini na kufuata.
  Wapo watu wanaokubali mawazo ama fikra za kina Dkt. Mvungi na Dk.Lwaitama ...Lakini pia wapo watu wasiowakubali hawa wazamivu wetu.
  Tofauti inayojitokeza ni ya kiitikadi.
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,933
  Trophy Points: 280
  ni desk top ya CCM.
   
 16. m

  msitaki Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  he is just a puppet..
   
 17. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Bana = Nape, wote ni vuvuzela... Yani kwa jinsi walivyo, JK akiwaambia geuka huku nataka.... wanageuka bila tatizo...
   
 18. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa ni kiazi kabisa nina wasiwasi na upeo wake amesoma lakini hakuelimika..
   
Loading...