Waziri Maselle Mbunge wa SHY hatakiwi kukanyaga SHY, Madini yapo SHY atakwenda wapi

Makollo

Member
May 7, 2012
7
0
Mi napata shida kwa mbunge wa shinyanga mjini aliyeteuliwa naibu waziri nishati na madini atafanya kazi kwa aman kweli ambapo toka uchaguzi wa 2010 hajakanyaga shinyanga na ukitizama migodi muhimu tz ipo shinyanga mi naomba angeachia tu huo uwaziri.
 
Mi napata shida kwa mbunge wa shinyanga mjini aliyeteuliwa naibu waziri nishati na madini atafanya kazi kwa aman kweli ambapo toka uchaguzi wa 2010 hajakanyaga shinyanga na ukitizama migodi muhimu tz ipo shinyanga mi naomba angeachia tu huo uwaziri.

Unajua watu wana hasira nae bado pale shinyanga,siku ya kutangaza matokeo alitangazwa kuwa mbunge kwa kumzidi kura moja tu mpinzani wake toka CDM,na hilo lilisababisha vurugu ambazo zilipelekea kuchomwa moto jengo la halmashauri lililotumika kuhesabia kura na wananchi wa shinyanga
.
Na yeye aliondoka kwa msaada wa polisi na tangia hapo haijulikani kama huwa anarudi kwao shy au la! Na kibaya zaidi yule mpinzani wake wakati akiwa anasudiri kuanza kwa kesi ya kupinga matokeo mahakamani yaliyompa massele ubunge naye akafariki katika mazingira tata na tete pia.jambo ambalo limeongezea petroli kwenye moto.

* Sasa yeye anakuwa waziri pekee mwenye rekodi ya kihistoria ya ushindi wa kura moja tu.
* pia ankuwa mbunge pekee ambaye anawakilisha watu ambao anawaogopa sijui anajuje , shida zao.
* Huyu naye ameingia kwenye orodha ya wabunge wa vodafasta!
Yaani asubuhi mbunge,saa nane waziri bila hata kuapa kuwa mbunge
 
Huyu kwetu Shy hatujui kama yeye ni Mbunge, leo tena ni waziri? Hata kama ameshinda kesi hiyo kihuni, lakini akae anajuwa kwamba alitenda DHAMBI kubwa mbele za Watu waliomchagua Mbunge wao Mpenwa Marehemu Philipo Magadula Shelembi, na ametenda DHAMBI kubwa mbele za Mwenyezi Mungu. But kamwe HATARUDI 2015 hiyo ndo nitolee tena. Na wamwangalie sana asije akawa kama hawa Mawaziri walio tiririshwa, atapiga hela fasta fasta akiwa anajuwa kabisa hatarudi.Mmenitonesha kabisa hapa wakati huyu alikuwa ameachwa mbali sana kwenye Kura, na dola walihusika kupoteza kumbumbu kwa maksudi.
 
Unajua watu wana hasira nae bado pale shinyanga,siku ya kutangaza matokeo alitangazwa kuwa mbunge kwa kumzidi kura moja tu mpinzani wake

Kumbe, sijutiii kujiunga JF, hapa unafahamu mengi !!!!! Mtu akashinda kwa kura moja tu !!!!! Halafu Mpinzani wake akafariki. Kama nguvu hizi zinazowekezwa kuutafuta ufalme wa dunia hii, zingetumika hivyo kulinda nchi, tungekuwa mbali.
 
Masele is my opponent in 2015 election, who won't dare killing me eithea as spread rumorz of killing otherz. Just hold on, more storiz to come. Am nw organizing myself. I was born in Shy, raised in Shy and stay in Shy!

True, no one needs Masele in Shy. And I dnt thnk if he ever comeback to Shy, may be secretly!
 
Huyu alishinda kwa kura moja,nasikia ni mchawi sana shinyanga anakuja daily kwa ungo
 
Back
Top Bottom