Huyu Naibu Wazi atamsaidia nani (Mawaziri 2 NW 1) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Naibu Wazi atamsaidia nani (Mawaziri 2 NW 1)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SONGEA, May 8, 2012.

 1. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baraza la Mawaziri la sasa,

  2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
  Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
  Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,
  [/B]

  6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

  Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
  Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,  Naomba mnisaidie, huyu naibu waziri Boss wake ni nani katii ya hawa mawaziri wawili?? (Mtu moja mabosi mbili)
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  tumia common sense jibu liko hapo hapo
   
 3. G

  Ginner JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  makamu wa raic
   
Loading...