Chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya Kanda ya Kusini, Lindi na Mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na...
Akizungumza kupitia ITV habari amesema,Mh jaji Warioba hapaswi kuzuia watu wasijadili kile wanachoona kinapaswa kujadiliwa kama maswala ya muungano na haki za kila kada ndani ya jamii.
Nape Nauye leo katika Uhuru FM ametema sumu kali juu ya kauli ya Mh. Nassari juu ya Arumeru kuwa nchi. Ameihusisha jambo hilo na sera ya majimbo inayoinadi CDM.
Amesema CDM sera ya ukanda...
Source Star Tv habari
Bwana Kibamba na wanaharakati wamenukuu baadhi ya kauli za viongozi wa nchi na wale wa katiba inaonyesha wanaweza kuandika mambo wanayoyataka wao na si wanannchi.
Kwa...
mbunge wa iringa-mjini awaasa wananchi waache tabia ya kuvunja sheria za nchi makusudi kwa tumaini kwamba mbunge wao atawasaidia. my take: xafi xana mchungaji. kuvunja sheria za nchi siyo sera ya...
Wakulima wa Vijiji viwili ya Nemalulu na Naberera Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wanajiandaa kuandamana mpaka Ikulu kama kigogo mmoja wa serikali tawala ataendelea na msimamo wake wa kuizuia...
NAPE NNAUYE KATIBU MWENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NAOMBA UNIFAFANULIE PAMOJA NA WATANZANIA WENZETU HUHUSU HUU UTATA WA MISIMAMO YAKO.
TOKA JUZI UPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI UKITOA UFAFANUZI...
Wajumbe,
Serikali yetu sikivu inaendelea kuaminika na kukubalika na wahisani, baada ya report ya CAG na mjadala bungeni wahisani wameazimia kumwana mafweza.
WASHIRIKA wa Maendeleo nchini...
Nukuu kutoka gazeti la Mwananchi la Mei 11, 2012 "Asifia uwazi Balozi Sefue alisema sio kweli kuwa hivi sasa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma vimeongezeka bali hali hiyo inaonekana zaidi...
IMENISIKITISHA SANA JANA KUONA VIONGOZ NDANI YA CCM WANATANGAZA KUANDAMANA KUPINGA KAULI YA NASARI AMBAYO mBOWE ALIIFUTA RIGHT THERE!!!!!!!.
BAADA YA KUTAFAKARI SANA NIMEGUNDUA WANAMPANGO WA...
Inasikitisha sana kwa chama tawala kuendelea na mpango wao wa kuvuruga amani ya nchi hii hali watu bado tunataka aman ambayo ililetwa na wazawa na wazalendo wa taifa letu. Ivi hii kauli ya vijana...
hatimaye unabii unaelekea
kutimia. Lakini naipenda sana
operation ndogo nyingine ya
M4C
ambayo naweza kuiita mkono
wa
kushoto wa M4C. Hii ni
operesheni
ya kimya na kwa kweli naipenda
kwa...
Akizungumzia tamko la CCM lililotolewa na Nape kukanusha tuhuma za kuhusika na mauaji, Mnyika amesema, Nape anaficha ukweli juu ya kuhusika kwa baadhi ya viongozi wake na mauaji hayo.
Kama...
Wadau, tupate taarifa toka kwa mweshimiwa sana ndugu EL
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amekuwa akifanya mikutano ya ndani na ya hadhara jimboni humo katika kinachoonekana ni kuzima wimbi...
Wakuu Heshimu kwenu!
Nimekaa na kutafakari sana kuhusu Azimio la Arusha,ingawa kulikuwa na baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sahihi kwa wakati tulio nao vingeondolewa ila vile vinavyohusu...
Chadema wamekuwa na mtazamo hasi kwa kila alifanyalo JK.
1. Kateua mawaziri, wakasema hawana sifa
2. Kawateua MADC hata kuapa bado, CDM wanalalama kuwa hawafai; Nyie nendeni mkaimarishe chama...
Walichalangwa mapanga usiku wa kuamukia 01-04-2012 ambayo ilikuwa siku ya kupiga kura kumchagua diwani kwenye uchaguzi mdogo kata ya Kirumba jijini Mwanza.
Kwa mara ya mwisho walionyeshwa na...