Vua gamba vaa gwanda kutingisha kusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vua gamba vaa gwanda kutingisha kusini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, May 11, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya Kanda ya Kusini, Lindi na Mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na uwajibikaji serikalini. Hayo yalisemwa na Katibu wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika.

  Amesema operesheni hiyo imelenga kushughulikia mambo matatu;

  1. kusimamia uwajibikaji katika ngazi zote za serikali, ili kuhakikisha changamoto zote zinazolikabili taifa zinashughulikiwa.
  2. kutoa elimu ya kisiasa kwa umma kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
  3. kujenga organaizesheni ya chama mijini na vijijini.
  Amesema mamuzi ya kupelekwa nguvu za operesheni hiyo katika mikoa ya Kanda ya Kusini yalifikiwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema.
   
 2. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kila la kheri
   
 3. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mungu ibariki chadema na viongozi wake.
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Watatukuta..
   
 5. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  All the best makamanda.
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo la kusini hawawaamini wachaga wa kaskazini!
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Kila la kheri chama changu tarajiwa...
   
 8. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pa1 sana wakuu.JK aliwaita kuwa ni chama cha msimu!sielewi kwa sasa atawaitaje tena.
   
 9. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Mikakati pande hzo iwe ya kudumu
   
 10. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I've been waiting for this..
   
 11. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  sawa sawa
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kusini ndio point pekee iliyosalia ya kukamilisha ukombozi 2015.
   
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mungu ibariki chadema,mungu bariki tanzania!
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wakimaliza kusini wavuke maji tukavikomboe visiwa vya karafuu!
   
 15. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakazi gani hao?!!...si wana oganaiz muvumenti ya kujitenga na sisi...au?...
   
 17. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  So what is your point then.....
   
 18. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  viva chadema..
   
 19. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Bado tu unajishauri kuvua Gamba? We njoo utavulia huku huku, lol
   
 20. Planner

  Planner JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35  Hizi attitude za kupandikizwa ndo zinazo wagharimu watu wengi wa kusini na baadhi ya maeneo mengine ya nchi hili limepelekea hata level ya maendeleo huku iendelee kusuasua tofauti na kwingine..ila wakiona elimu ya kujitambua inayolewa na CDM ni gharama waendelee kujaribu magamba! Kupanga ni kuchagua! kama wataendele kunyata wakati wenzao wa kanda ya ziwa,kaskazini na mbeya wanakimbia shauri yao.
   
Loading...