UWAJIBIKAJI ON PROGRESS; Sugu akinukisha kata za Mabatini & Itende!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765

Mbeyaaaa!!!!!! ooooooooooooyeeeeeee !!!!! watu " oooyeeeeeeeeeee"

Mzuka wa Chadema na Mbunge wao ukiwa umepanda kwani Mbeya, Mh Sugu hufaha mika kama Raisi wa Mbeya .


Mbunge wa Mbeya Mjini akiwapa ripoti ya kazi Wanambeya juu ya ninikina endelea katika maendeleo ya jiji lao


Takataka haikuwa tatizo kwani watu wanahamu ya kumsikiliza Mbunge wao kiasi cha kukaa ndani na juu ya Ghuba la taka


Umakini mkubwa ulitapakaa kwa Wanambeya wakimsikiliza Mh Sugu kwa makini

Wazee nao hawako nyuma kwenye mabadiliko ya nchi haswa kwenye mambo muhimu ya jiji la Mbeya kwani wamekuwa bega kwa bega na Mbuge wao

Mbuge akiweka mkazo katika suala la sensa mwaka 2012 kwa wana wa Itende

Mh Mbilinyi alipata nafasi ya kutembelea ofisi ya afisa mtendaji pia ilikupata taarifa na matatizo yanayo wakabili watendaji wa kata kulia kwake ni Mwenyekiti Chadema Mbeya Mjini Bwana John Mwambigija .

Katibu wa Chadema Mbeya Mjini Bwana Criss Mwamsiku kushoto na Mh Sugu baada ya kusaini kitabu cha wageni katika ofisi ya kata ya Chadema Itende


Mh sugu akipata chakula chamchana katika ofisi ya Chadema kata ya Itende huku akiwatia moyo nakuwapa ujasili wana itende kwa kazi nzuri ya ujenzi wa ofisi hiyo ya chama .
 
Hao ndiyo watu wenye dhamira ya dhambi,,,,Hongera sana Raiiiiis wa MBEYA huyu ndiye mpambanaji wa ukweli ( kumbe SUGU ni Jembe la ukweli ) Big up for High Comitment 2 ur VOTERS ( Viva Sugu Viva Mbeya)
 
M4C nyumba kwa nyumba, mtu kwa mtu , kitanda kwa kitanda!
 
Back
Top Bottom