Mustakabali wa Tanzania - Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mustakabali wa Tanzania - Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bagamoyo, May 19, 2012.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280


  Video kwa hisani ya Mutwiba wa Youtube

  Hii ni sehemu ya nne na ya mwisho katika mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe.
  Katika sehemu hii, anaeleza kwanini anaamini kuwa TANZANIA NI NCHI TAJIRI SANA?
  1: Anauonaje MUSTAKABALI WA TANZANIA hasa katika nyanja ya mafuta na gesi?
  Je! Tanzania ina gesi kiasi gani? Ni mikataba gani iliyosainiwa na hiyo ina tofauti gani na ile ya zamani? Ni nini serikali inapanga kufanya na pesa za madini?
  2: Suala la mipango miji kwa maeneo yanayokua
  3: Tatizo la usafiri na miundombinu kwenye miji kama Dar-Es-Salaam
  4: Tatizo katika mfumo wa Magereza na haki za wafungwa.
  5: NI KIPI AMBACHO CHADEMA WANAJIVUNIA KAMA MATOKEO YA HARAKATI ZAO NCHINI?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. K

  KIGIGI Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ama kweli chadema in hazina kubwa sana ya watu wenye vipaji na malengo chanya kwa nchi yetu. GOD BLESS YOU MH. ZITTO
   
Loading...