Wabunge wa CHADEMA mtawambia nini wapiga kura wenu 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CHADEMA mtawambia nini wapiga kura wenu 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shinto, May 18, 2012.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa CHADEMA kwa muda sasa.
  Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
  Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao majimboni kwao.
  Wengi wao wakiulizwa hapa, hutoa majibu rahisi kuwa hawana dola hivyo hawewezi kutekeleza ahadi zozote za maendeleo majimboni kwa kuwa hawakusanyi kodi!
  Swali ni je:
  1. Mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?
  2. Au mtaonesha kadi za CCM zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa mbunge?

  Wabunge wa CDM, Tafakari na muchukue hatua!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nchi imetawaliwa na wezi na mafisadi! Tunataka jenga taifa lenye uchumi imara bila usanii

  Changua Mungu achana na shetani CCM

  Pipoziiiiiiiii Powa

  M4C
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kabla hujawauliza hilo swali umezunguka majimboni mwao ukazungumza na wananchi wao ukapata maoni juu ya utendaji wa wabunge wao?

  Wengine tupo majimbo ya ccm toka mwaka 1995 hadi leo hatujui maji ya dawasco yana rangi gani, umeme ni majaliwa tanesco wanakzta wanavyopenda, barabara mwaka huu ndo imetandikwa lami tena ni dsm......
   
 4. m

  manucho JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huoni wabunge wa CDM wanachofanya?
  Wanafanya kazi ya kuweka nchi sawa toa fisadi weka watu safi watakaofanya kazi kwa maisha bora ya mwanchi wa TANZANIA.
  Wa CCM watawaambia nini wananchi
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wahi toilet, usije ukajinyea mbele za watu!
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Aliye na macho haambiwi tazama! Wabunge wa Chadema wametimiza wajibu wao wa kuishauri na kuisimamia serikali.
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivi jamani kazi ya mbunge ninavyojua mimi ni kuwa kilisha wananchi wa jimbo lake bungeni kwa maana ya kuwasemea kuhusiana na kero na shida wanazopata wananchi wake.Halafu serikali hukaa chini na kuchukua hatua stahiki.Sasa ukiona mbunge wa cdm kakwama ujue serikali imemkwamisha inaweza ikawa kwa tofauti ya itikadi au uongozi mbovu wa serikali iliyopo madarakani
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  tutawaambia waitose ccm mazima!
  Mifano yenye kujenga hoja;
  Jk na ccm yake wametimua timua mawaziri zaidi ya mara tatu kwenye utawala stearing akiwa jk kwenye meli ya mv ccm jambo linaloashiria kuwa hawana mbinu safi za kuliongoza taifa letu kimsingi wanafanya majaribio ya kunyoa kwenye vichwa vyetu!

  Jk anasafiri sana nje ya nchi kana kwamba jumuiya ya kimataifa ndiyo ilimchagua kuongoza tz, na chama chake hakimgombezi na kumuonya aache vitrip. analifilisi taifa letu kwa manufaa ya ccm.

  mizengo pinda anauza ardhi yetu kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji!

  wananchi ikataeni ccm na waambata wake!
   
 9. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani wewe unataka wakajenge barabara? Au wakachimbe visima? Kazi yao nikuhakikisha maendeleo yanatokea kwenye majimbo yao jambo ambalo haliwazuii kufanya shughuli za chama. Na wewe nikuulize swali Je, hao wabunge wako wa CCM watakuja kutuambia nini sisi wapiga kura 2015?
  Au watakuja kutuambia mipango yao ya kuvuana magamba na kubadilisha walaji katika baraza la mawaziri? Nakushauri fikiri kabla ya kuandika na hata kuuliza swali lolote. MUNGU IBARIKI 'CDM'
   
 10. Imany John

  Imany John Verified User

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Tuanze kwanza kuhoji yule aliyeahidi kutuletea dubai kigoma,hawa wa local road tuwaache wapambane.
   
 11. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetumwa na nani kudadadekiii, kwani huoni kazi wanayofanya au unafikilia kwa kutumia Masaburi?
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Tuliopigia kura Chadema na tutaendelea kuipigia kura Chadema wala hatuhitaji mkalima kujuwa Wabunge wa Chadema wanafanya nini, wanachokifanya tunakiona na tunawaelewa.

  Swali linawasubili CCM kuhusu maisha bora kwa kila Mtanzania, barabara za angani, meli kubwa kuliko Mv Bukoba, reli mpya Dar mpaka Mwanza Machinga complex 3 kila wilaya Dar na ahadi nyingi za kusadikika za JK na CCM yake. nawaonea huruma kweli CCM.

  Mpaka sasa katika ahadi 73 za JK ni ahadi moja tu iiyotimizwa tena ni nusu nayo si nyingine bali ni kuleta zile Ambulance za bajaji na kwa habari za uhakika kuna muhindi ndiyo amezitoa zile bajaj na siyo pesa ya Serikali.
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Utaonekana mwehu ukiamua kupiga propaganda dhidi ya M4C. Bora unyamaze tu
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Maswali mengine hayana tija. Nenda kawulize wananchi wao majimboni
   
 15. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Wewe kweli huna akili, natumaini wabunge wa ccm ndo hawana la kuwambia wananchi wamefanya nini hasa chama chao ambacho kimeshika dola almost 50 years now.
  Wabunge wa chadema bungeni wanatafuta umaarufu kweli kwa zile hoja?? Wewe masabuli kabisa uso kifani.
  Natumai washauri magamba (ccm) wenzako kuwa hatutodanganyika tena na any more,
  na bado mapovu yatakutoka sana mdomoni mpaka katika masabuli yako, acha kuleta hoja zisizokuwa na mashiko
   
 16. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Huna hoja ya msingi, cha muhimu na kikubwa tunachoangalia ni kulikomboa taifa baada ya ukombozi na CDM kuchukua nchi ndio unaweza kuleta hiyo hoja.
   
 17. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  WEWE UMETUMWA, MIMI NI MKAZI WA KIGAMBONI DAR, MBUNGE WETU KWA TIKETI YA CCM SIJAWAHI ATA KUMUONA.
  YEYE NA SERIKALI YAKE NI HERI WANGETUACHA NA DHIKI ZETU ZAIDI WAMEKUJA KUTUTUKANA KWA KUTUPANDISHIA NAULI YA PANTON NA KUTUAMBIA ATI TUSOWEZA KULIPA TUPIGE MBIZI.
  WEWE NI NG'OMBE FOOLISHI SANA WAKATI SIE WA KIGAMBONI TUNALIA MUNGU ATUJALIE TUPATE MBUNGE KUPITIA CHADEMA KWA WIVU TULIONA NAO KWA MAJIMBO YALOCHINI YA CHADEMa WEWE WASEMA WATAULIZWA WAMAFANYA NINI?
  HUONI WATU WA KAWAIDA PIA VIONGOZI WANAVYOTIMKIA CHADEMA KILA KUKICHA, WADHANI WEWE NG'MBE NDO UNA AKILI SANA KUWASHINDA HAO, IN SHORT UMENIUDHI KWANI WEWE NI MPAMBE WA UFISADI UNAOENDELEA KATIKA TAIFA ILI, WE ARE CRYING 4 M4C WEWE IYO MOVE YAKUUMA?? FISADI MKUU WEWE
   
 18. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naona mambo yameanza!

  Tehetehe!
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa mara nyingine tena, kazi ya mbunge ni kutunga na kuisimamia serikali. Wabunge wa CDM wataambia (kwa uchache tu wananchi wa Tanzania 2015), wamba kwa miaka mitano tu waliyokuwa bungeni:

  1. Katiba mpya (Ilani ya CCM haina katiba mpya)
  2. Vua gamba
  3. Elimu ya uraia - hakuna kitu kikubwa kwa mwanadamu yoyote kama kuwa kutumia nguvu yake mwenyewe kudai haki. CCM wamekuwa serial abuser na sasa wanahaha maana hasukumwi hata mama ntilie.

  Bring on 2015!
   
 20. Imany John

  Imany John Verified User

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Wenyewe wanayo M4K,YAANI MOVEMENT FOR KILLING.

  Rejea mauaji baada wa uchaguzi mdogo wa igunga na hapa arumeru.
   
Loading...