Nani katuloga Watanganyika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani katuloga Watanganyika!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Hunter, May 19, 2012.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wandugu naskiliza mahojiano ya Kikwete na Mitchell, kweli hii nchi ni nchi ya kuombaomba, kila uchwao, mawazo ya raisi yamejaa kusaidiwa, kauli zake zimejaa kuomba na kulialia, Huu ni upuuzi, huu ni ujinga
  Tumetoa madini bure, tunaruhusu uwindaji bure, tumetoa uranium bure, akili yetu ni kuzunguka kila uchwao kuomba omba!
  Shame kuwa na viongozi wasio jitambua na wasio jua wanataka nini!

  To hell kikwete na kilimo kwanza chako!!
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda hiyo mkuu, nimekugongea Like:poa
   
 3. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Baba wa taifa alisema tunachukua chetu hatuombi, walichukua baba zetu waliokuwa wanajenga nchi hii wakaenda kuzalisha kwao na ndo maana wakatajirika, km umefika europe utaona majengo mengi sana yamejengwa miaka ile yautumwa, na capital kubwa waliipatawakati huo, infact mambo mengi waliyapta wakati wa ukoloni, acha tuombe lakini akili yetu ni kurudisha kilicho chetu, ukiwadai hawalipi
   
 4. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Babu yako, baba yako,bibi yako, mjomba wako, n.k. walioipigia kura CCM 2010 na wanaoendelea kuikumbatia.
   
 5. E

  Edwin Mtei JF Gold Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I entirely agree with Mwana JF, the Hunter in his stance on omba omba and the free grant of our maliasili.

  However as for J.K's "Kilimo Kwanza", we have to find able people who are wazalendo, to operationalize this declaration, if this country is to make economic progress.
   
 6. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tulipo opt ile Green Revolution toka China, hakuna mchina alikuja kutufundisha ama kuirun, ni Watanganyika wenyewe waliifanya, japo haikufaulu sana, bt ilisaidia nchi, ili kuwa ni sera ya wananchi
  Leo Kilimo Kwanza, kimefeli toka mwanzoni maana kila kinachofanywa kinafanywa na wanasiasa na kisiasa
  Ona mradi wa Power Tiller, ulivyojaa ubabaishaji, ona ruzuku za kilimo zinavyogawiwa kiupendeleo, kinyonyaji, ona soko la mazao linavyo hujumiwa na hao wezi wachache wenye mamlaka
  Kikwete atambue Kilimo kwanza kitawezekana pakiwepo Dhamira ya dhati na maamuzi ya kweli ya kukifanya
  Misaada ya nje si suluhisho maana hata AGOA, ilipotoa nafasi tukauze nje, hatukuwa na chakuuza
   
Loading...