Operation imarisha mashina ndani ya CCM sasa

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
nimeshanga kuona sasa CCM imeanzisha operation hiyo,
Nini mtazamo wenu wakuu

SOURCE; ITV NEWZ SASA.
 
Labda waanze na OPERATION MIZIZI ya kile kimesababisha wakaporomoka kisiasa.
.
"HERI KIJANA MASKINI MWENYE HEKIMA, KULIKO RAIS MPUMBAVU ASIYEJUA KUONGOZA".
 
Mkuu eti umesema kwamba CCM wameanzisha Oparesheni Imarisha Gamba Mashinani (OIGM) au ni masikio yangu tu sijakusikia vizuri??
 
Hii ni kama mtu aliyekuwa amelala ikifika saa mbili asubuhi anatakiwa kuwa yuko ofisini yeye sasa ndiyo anataka kujifunika shuka. Mtu huyu ni mpumbavu ndiyo inafanya CCM ni uchizi
 
Mkuu ukiona PAKA kakubali kulala CHALI tena mchana kweupo anzakusogoea nyumbani, ccm niyaviongozi na watoto wao a.k.a BMW sijui wataanzia wapi ambako bado wana wanachama.
 
Ni CCM ipi inayoimarishwa maana ndani yake kuna vikundi vingi?
 
labda operation za kiukoo wa wenye ccm,maana hiki chama ni cha watu fulani tu,familia,koo, wanarithisha uongozi km mali ya familia na ukoo,wengine wana vaa magwanda ya kijani ili kusindikiza tu wana ukoo.
 
operation imarisha koo,nnauye-nape,kikwete-ridhiwani,makamba-january,kawawa-vita,......................,,,,,,,,,,,,,mhmmmmmmmmmmmmmm!kazi kwelkweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom