Taifa halina akiba ya kutosha kujiendesha kwa miezi mitatu ijayo

nyafuru

Member
Mar 29, 2012
10
1
Waziri wa fedha amenukuliwa akidhibitisha kuwa taifa lina akiba ya kutosha ya dola za kimelekani kuweza kuendesha nchi kwa miezi mitatu swali ni je,kwa nini bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012/ haijatekelezwa hata theluthi moja?kwa nini miradi ya barabara imekwama na wahandisi wanaendelea kulipwa hela za adhabu ya kucheleweshwa hela zao?Je kama kweli nchi inahela za kutosha kwa nini deni la taifa lina kuwa na kila siku mfumuko wa bei unapanda kila kikicha?na je kwa nini watumishi wa serikali wamekuwa ndio tegemezi pekee la serikali kukusanya kodi.Kimsingi mawziri wetu hasa huyu mteule mpya awe wazi.CCM NCHI IMEWASHINDA WAISALIMISHE KWA CDM(NJOONI BAHI MAKAMANDA TUJENGE CHAMA WATU WAKO TAYARI KUKIPOKEA CHAMA.:hat:
 
Japo habari ni kishabiki,kama mambo ya ko hivyo bundi anawasumbua ugiriki anatunyemelea.
 
Nimesikia kuwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka vyuo mbali mbali wanaanda maandamano kudai mikopo au vyuo vifungwe.
 
Tuliwaambia sikunyingi.mkabisha sasa mwaona.Zito kabwe amekuwa akieza kuwa hazina hakuna fedha tangu mwaka 2010(baada ya uchaguzi).sasa ukweli umedhihili.
 
Baba Mwanaasha amepeleka wapi mabikioni ya dola aliyoaacha Mkapa inamaana hakuweza kuweka akiba kabisa katika utawala wake wa miaka saba ila nikuchezea akiba kwa kwenda kubembe kwenye visiwa vya Jamaica sasa hivi tukijua anasafiri ni kwenda pale airport kumpopotoa na manyanya tu basi ndio kilichobaki
 
Alipokuwa anaingia madarakani alimsifia Nkapa kwa maneno haya: "Mzee ameacha hazina hela ya kutosha kuliwa kwa miaka miwili". Bila shaka ile miaka miwili imeisha na hela ilishaisha siku mingi
 
Baba Mwanaasha amepeleka wapi mabikioni ya dola aliyoaacha Mkapa inamaana hakuweza kuweka akiba kabisa katika utawala wake wa miaka saba ila nikuchezea akiba kwa kwenda kubembe kwenye visiwa vya Jamaica sasa hivi tukijua anasafiri ni kwenda pale airport kumpopotoa na manyanya tu basi ndio kilichobaki

Alipokuwa anaingia madarakani alimsifia Nkapa kwa maneno haya: "Mzee ameacha hazina hela ya kutosha kuliwa kwa miaka miwili". Bila shaka ile miaka miwili imeisha na hela ilishaisha siku mingi
 
Waziri wa fedha amenukuliwa akidhibitisha kuwa taifa lina akiba ya kutosha ya dola za kimelekani kuweza kuendesha nchi kwa miezi mitatu swali ni je,kwa nini bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012/ haijatekelezwa hata theluthi moja?kwa nini miradi ya barabara imekwama na wahandisi wanaendelea kulipwa hela za adhabu ya kucheleweshwa hela zao?Je kama kweli nchi inahela za kutosha kwa nini deni la taifa lina kuwa na kila siku mfumuko wa bei unapanda kila kikicha?na je kwa nini watumishi wa serikali wamekuwa ndio tegemezi pekee la serikali kukusanya kodi.Kimsingi mawziri wetu hasa huyu mteule mpya awe wazi.CCM NCHI IMEWASHINDA WAISALIMISHE KWA CDM(NJOONI BAHI MAKAMANDA TUJENGE CHAMA WATU WAKO TAYARI KUKIPOKEA CHAMA.:hat:

CDM wakipewa dola, wana mikakati gani ya kukuza pato la taifa? naomba nielimishe
 
Magamba ni magamba tu nimekubali. Mimi ni ccm ila nimeshawapiga chini bila wao kujua, nitajitoa taratibu kwa vile upepo nauona si vizuri nikajitoa kwa haraka kwa nafasi niliyo nayo, itahatarisha maisha na mipango yangu yua baadaye. BUT ALL IN ALL CCM WAMENIKATISHA TAMAA, WALA SI CHAMA CHA WALALAHOI TENA , BALI CHA MAFISADI
 
Waziri wa fedha amenukuliwa akidhibitisha kuwa taifa lina akiba ya kutosha ya dola za kimelekani kuweza kuendesha nchi kwa miezi mitatu swali ni je,kwa nini bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012/ haijatekelezwa hata theluthi moja?kwa nini miradi ya barabara imekwama na wahandisi wanaendelea kulipwa hela za adhabu ya kucheleweshwa hela zao?Je kama kweli nchi inahela za kutosha kwa nini deni la taifa lina kuwa na kila siku mfumuko wa bei unapanda kila kikicha?na je kwa nini watumishi wa serikali wamekuwa ndio tegemezi pekee la serikali kukusanya kodi.Kimsingi mawziri wetu hasa huyu mteule mpya awe wazi.CCM NCHI IMEWASHINDA WAISALIMISHE KWA CDM(NJOONI BAHI MAKAMANDA TUJENGE CHAMA WATU WAKO TAYARI KUKIPOKEA CHAMA.:hat:

Hakika sijapata kuona mtu mbumbumbu wa masuala ya kiuchumi kama wewe. Waziri amezungumzia akiba ya fedha za kigeni ambayo ina uwezo wa kutufanya tuagize mahitaji yetu nje kwa miezi minne bila ya kutetereka. Siyo kama ulivyoelewa wewe kwamba brother. Fuatilia takwimu na maana ya foreign exchange reserves utaelewa maana yake.
 
nyasi zenyewe tunazo bado za kutosha kwa viongozi wetu kuendelea kuishi maisha ya kifahari na sisi kuzila.
 
Back
Top Bottom