Wanachama wengi ccm hapa dc wanaisubiri kwa hama hiyo siku ya tarehe 27 ,may ili waingie chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachama wengi ccm hapa dc wanaisubiri kwa hama hiyo siku ya tarehe 27 ,may ili waingie chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by environmental, May 19, 2012.

 1. e

  environmental JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hali sio nzuri kwa ccm hapa USA.kwani wanasema tunaongea na ndugu zetu huko nyumbani ,na wanasema watoswe CCM[MAGAMBA]Huu ni muda wa kuwatosa magamba.Asante Mama Leticia kwa kuja kutupa moyo.Makamanda hatutarudi nyuma kabisa.hiki kimbuga kitaendelea mpaka kieleweke.people power. Chadema Blog
   
 2. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda wa sau lakini ccm dar ni ngome yetu afu padri slb mjanja sana akiona sabodo ametoa msaada wa pesa lazima aandae maandamano na mikutam ili ajilipe posho
   
 3. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wewe kiboko Yenu, unastahili kufungwa jiwe la kusagia shingoni na kisha kutoswa kwenye kilindi cha maji. Mropokaji mkubwa na gamba gumu, mwache Dr wetu afanye kazi yake. Tunakueleza wazi safina iko wazi, na nafasi ingaliko tele, njoo uingie, mlango ukifungwa mtalia na kusaga meno na CCM yenu. Karaghabhaho!
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Leticia Nyerere mbunge wa Chadema tawi la kwa Obama
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Hivi kuwepo kwao ccm au cdm wawapo ughaibuni kunavisaidia nini vyama vyao hapa nyumani
   
Loading...