Tasisi mbali mbali na jumuiaa za kiraia ikiwemoo Jumuia ya Wanasheriaa wakujitegemea Zanzibar imeanza kutowa elimu juu ya uhalali wa Muungano wa Ilokuwa Jamuhuri ya Watu wa Tanganyika na...
Gazeti la RAI linalomilikiwa na Habari Cooperation limefichua njama kubwa zilizoandaliwa na Chama cha Mapinduzi dhidi ya Chama kikuu cha upinzani Tanzania CDM.Gazeti hilo toleo la leo alhamisi...
Ushindi wa Mnyika umefurahisha, na kuonyesha kwamba ulikuwa si ushindi wake au wa CDM tu bali wa wengi, umati wa watu waliandamana toka Mahakama Kuu hadi Kimara!
Kwa kweli Mnyika na CDM...
Naomba kujua kama hawa watu wawili nnaowazimia Godbless Lema wa arusha na Rev.Hon.Peter msigwa wa iringa kama watakuwepo jangwani sambamba na Dr wa ukweli na mbowe.ANAEJUA ATUJUZE.
Ni lazima penye ukweli tuseme ukweli jamani, ili tusirudie makosa.
Kipindi CUF walivyomtimua Hamad Rashid kwa kitendo cha kutumia press conference kumshtumu seif Hamad (katibu wake wa chama) kwa...
Jamaa Hawezi kaa bila mdomo wake kutaja neno chadema, ata akihojiwa kwenye vyombo vya habari ata kama mada haihusiani na chadema lakini utasikia anaitaja chadema..Juzi kati apo General anamhoji...
Inasikitisha sana kuona kwenye tuzo za CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST AWARDS 2012 hamna jina la chombo cha habari wala mwandishi wa Tanzania. Nashindwa kuelewa tatizo ni nini, au habari zetu...
Mimi ningependa kuwaomba wazee wangu Ali na Abbas Pamoja na Wahariri wa Al Huda na wasomaji wake, kwamba vita ya ufisadi si dhidi ya Kikwete au dhidi ya uislamu, na ndio maana sisi wengine tukiwa...
Mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni,maneno haya ya hekima yamekuwa yakitumiwa sana na wahenga angalau kuthibitisha huruma kwa mnyonge hasa anapo dhulumiwa haki yake.Leo hii maneno haya...
Wakuu jana nimeangalia mhadhala juu ya katiba ulioendeshwa na Prof. Shivji kupitia ITV, lazima nikiri mzee huyu mbali ya kuwa na weredi wa kupindukia kwenye medani ya sheria na katiba ni mzalendo...
Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa bunge la Africa mashariki itatajwa leo kwa mara ya kwenza mahakama kuu kanda ya Dodoma.Kesi hiyo ilifunguliwa na Anthon Komu aliyekuwa akigombea...
Resource Clips May 24, 2012 – 5:47 AM ET | Last Updated: May 24, 2012 5:01 PM ET
Tanzanian Royalty Exploration Corp
Buckreef: Tanzanians working for Tanzania.
By Kevin Michael Grace and...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea nakala ya hukumu ya kesi mbili zilizofunguliwa Marekani dhidi ya mbunge wa Viti Maalum Leticia Nyerere (CHADEMA) zenye kuonyesha mahakama...
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanachama muadilifu wa CHADEMA.Ili kukijenga ni lazima tuseme ukweli pale yanapofanyika mambo ambayo yanaweza tuharibia focus yetu ya mbio za ikulu 2015.
1.Suala la...
Kadri siku zinavokwenda ndivyo hali inavyokuwa tia maji tia maji katika jimbo la ismani kwa mheshimiwa Lukuvi kuanzia kijijini kwake Idodi na maeneo mengine jimboni humo. Tatizo kubwa linalozidi...
Kulingana na taarifa ya Habari ya Jana ITV inaonyesha wazi mbunge wa Ukonga kupitia CCM amekata tamaa kabisa hana ushawishi, hana uwezo wa kulobby kwenye Serikali za mitaa, hana mvuto, hana...
Huo ni mshahara tu! posho kwa kikao dola 600 mkopo wa gari milioni 90. pia wana haki ya kukopa hadi Tshs 400 milioni kutokana na mishara yao.
Chanzo: Gazeti la Jamhuri la 22 - 28 May 2012...
Kila Kikao cha bunge hutanguliwa na maswali na majibu! kipindi hiki huchukua muda mrefu na kusababisha muda wa mikutano ya bunge kuwa mirefu bila sababu! Kingine ni kuwa majibu yanayotelewa ni...
Posted by EMT | May 14, 2012 (Baadae comments zikapotea wakati wa marekebisho ya server)
Kulikuwa na thread hapa leo kuhusu kukamatwa kwa mbunge wa Chadema huko Marekani lakini imeondolewa baada...