Kwa haya CHADEMA mnakosea

kizazi kipya

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
327
62
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanachama muadilifu wa CHADEMA.Ili kukijenga ni lazima tuseme ukweli pale yanapofanyika mambo ambayo yanaweza tuharibia focus yetu ya mbio za ikulu 2015.
1.Suala la shibuda
inafahamika na kila mwanachadema kuwa shibuda ni mamluki.si mara moja anaenda tofauti na misimamo ya chama kwa lengo la kukidhoofisha.Kwa kila mwenye kufikiria vizuri hawezi kusita kuconclude kwamba shibuda anatumiwa.kuijibizana naye ni kupoteza muda,kwa nn tusipuuzie hoja zote anazotoa na kusonga mbele kuliko kujibizana naye.Ameshafaulu kuleta mfarakano BAVICHA kwani kwa jicho la haraka naona mambo sio shwari.TUACHANE NA SHIBUDA TUSIPOMJIBU ATAACHA KUONGEA.
2.Suala la lema na mawaziri wanaotaka kuhamia chadema.
Hata kama waliotajwa walikuwa wameomba kujiunga na chadema kulikuwa na haja gani kutangaza hadharani kabla ya muda muafaka....wanavokanusha hadharani tunaonekana tuna siasa za kizushi kwanini lema asisubiri mpaka siku wao wenyewe watakapotangaza kuhama CCM.Nadhani ni muda muafaka wa kupima maneno yetu kabla hatujatoa kwenye kadamnasi ili kujenga chama chetu.
NAOMBA KUWAKILISHA
 
Kaka Kizazi kipya,
Asante jkwa maoni yako na maelezo yako ambayo mimi nayakubali mia kwa mia (100%). Hata mimi sikufurahia kitendo cha Lema kuelezea mapema juu ya Waziri wa Africa mashariki na Waziri mkuu mstaafu kuwa wameomba kujiunga na CHADEAMA. jambo hili halikuwa na haja ya kubishana na kulitoa kwenye vyombo vya habari mapema.

Ninachoona kweli kabisa hakuna haja ya kubishana nao hasa Gamba Lowasa. Tukubali ni makosa na yasijitokeze tana. KATIBU MKUU Dr. Slaa alisema kwamba kuna mambo muhimu ya kuyatafutia ufumbuzi kwa sasa kama hali ya kupanda kwa bei za vyakula na hali ngumu ya maisha kwa ujumla kwa watanzania. Badala ya kuzungumzia juu ya Lowasa na Sitta
Mimi sio mwananchama wa chadema ila ni mpenzi wa chadema
 
Mvumilivu ni kweli kabisa...shibuda anatumika kudroo attention ya viongozi wa chm..badala ya kuconcentrate na operation za M4C kama walivobuni wanabishana na shibuda..
 
Sasa nyinyi mnategemea chadema kuna uongozi?

Mwenyekiti ansema hilo ni swala la kidemokrasia anakuja Katibu Mkuu anasema hilo swala si chochote.

Mwenyekiti BAVICHAa anasema Shibuda kakosa anakuja Naibu Mwenyekitiwa hiyo hiyo BAVICHAa anasema Mwenyekiti wake ndio mwenye makosa.

Hapo sasa! Uongozi utoke wapi na mumuamini nani?
 
Shibuda alikua anatafuta umaarufu basi kashaupata na tuachane naye tusiendelee kumpaisha zaid...puuzia ujinga wake uone kama atasikika tena...unajua ukijibizana na chizi na wewe unaonekana chizi kwa wengine
 
Sasa nyinyi mnategemea chadema kuna uongozi?

Mwenyekiti ansema hilo ni swala la kidemokrasia anakuja Katibu Mkuu anasema hilo swala si chochote.

Mwenyekiti BAVICHAa anasema Shibuda kakosa anakuja Naibu Mwenyekitiwa hiyo hiyo BAVICHAa anasema Mwenyekiti wake ndio mwenye makosa.

Hapo sasa! Uongozi utoke wapi na mumuamini nani?
we dogo!...nyie uongozi ulitoka wapi?emu nikukumbushe....(1) wakati bunge linataka kuongeza posho kwa wabunge, spika alitoa kauli gani? Na je naibu spika alisemaje,wakati huohuo ikulu ilkua inatoa kaul gani? Je unakumbuka wakati huo nape na pinda walikua wanatoa kauli gani?...mji/nga mkubwa we
 
Nikweli mkuu wengine hatutaki cdm iingie kwenye malumbano yasiyo na tija!
 
ikumbukwe kwamba hiz ni siasa na siasa ina mbinu tofati. pia cdm sio malaika mpaka tusikosee.
 
na kukaa kimya ni jibu tosha la mtu ambaye unaona anakupotezea mda au ni jibu la mijinga kwa kifupi
 
Sasa nyinyi mnategemea chadema kuna uongozi?

Mwenyekiti ansema hilo ni swala la kidemokrasia anakuja Katibu Mkuu anasema hilo swala si chochote.

Mwenyekiti BAVICHAa anasema Shibuda kakosa anakuja Naibu Mwenyekitiwa hiyo hiyo BAVICHAa anasema Mwenyekiti wake ndio mwenye makosa.

Hapo sasa! Uongozi utoke wapi na mumuamini nani?

nenda k anye huko. gamba we!
 
we dogo!...nyie uongozi ulitoka wapi?emu nikukumbushe....(1) wakati bunge linataka kuongeza posho kwa wabunge, spika alitoa kauli gani? Na je naibu spika alisemaje,wakati huohuo ikulu ilkua inatoa kaul gani? Je unakumbuka wakati huo nape na pinda walikua wanatoa kauli gani?...mji/nga mkubwa we
Taratibu! taratibu! pole! pole! siasa haitaki jazba mkuu.
 
we dogo!...nyie uongozi ulitoka wapi?emu nikukumbushe....(1) wakati bunge linataka kuongeza posho kwa wabunge, spika alitoa kauli gani? Na je naibu spika alisemaje,wakati huohuo ikulu ilkua inatoa kaul gani? Je unakumbuka wakati huo nape na pinda walikua wanatoa kauli gani?...mji/nga mkubwa we

Nadhani u a matatizo ya kufikiri, unaleta habari za wabunge kufananisha na viongozi wa chama?
 
Jamani huyo lema muacheni huyo ana stress za kuvuliwa ubunge. Hatutomwacha nyuma 2taendelea kumshauri sehemu anazoteleza mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom