OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Kila Kikao cha bunge hutanguliwa na maswali na majibu! kipindi hiki huchukua muda mrefu na kusababisha muda wa mikutano ya bunge kuwa mirefu bila sababu! Kingine ni kuwa majibu yanayotelewa ni yaleyale ya kisiasa tu! Mimi huwa najiuliza kipindi hiki huwa kina maana gani na je huwa kinaongeza ufanisi wa serikali au ni sehemu ya wabunge kuonyesha wapiga kura kuwa wanafuatilia mambo majimboni??na kuna maana gani kiwepo kwenye kila mkutano wa bunge?