Jiji larindima! Mnyika afunika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiji larindima! Mnyika afunika!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzania Mpya, May 24, 2012.

 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Ushindi wa Mnyika umefurahisha, na kuonyesha kwamba ulikuwa si ushindi wake au wa CDM tu bali wa wengi, umati wa watu waliandamana toka Mahakama Kuu hadi Kimara!

  Kwa kweli Mnyika na CDM wamefunika Jiji.

  Pipooooooz!
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Watakuambia Dar ni ya ukanda wa kaskazini
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mbona maeneo ya Mwenge na Mikocheni hatujasikia mlindimo huo nawe umesema ni jiji zima?
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Magamba wana upofu watasikua wapi?
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii kimara na hiyo mahakama vyote viko kaskazini
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu tumbiri Leo sijakuona jamvini
   
 8. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Picha plz!
   
 9. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mtakufa kwa kihoro tu nyi subirini.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Halafu jaji ni mdini Kama mtei na wote wametoka kaskazini hata mkutano wa jumamosi unaofanywa jangwani magamba Wanasema ni kaskazini mwa dsm
   
 11. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  safi sana..hawa jamaa walisoma upepo wakaona ya LEMA yasije yakajirudia mikoa ya pwani yoote ikageuka NGOME YA CHADEMA...ila moto wa petrokl ushawashwa kwenye nyasi kavu...
   
 12. h

  hans79 JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  pwani ya bagamoyo nayo inabidilika labda Tabora
   
 13. h

  hans79 JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Pwani ya Bagamoyo nayo inabidilika labda Tabora
   
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Uongo mwingine wala hauna rutuba kwa chama....hayo maandamano yalipitia barabara gani?! Mishemishe zangu zipo Mtaa wa Ohio; mtaa ambao hutumika sana kutoka na kwenda mahakama kuu. Na nilikuwa pale tangu saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni!!! Mie hayo maandamano mbona sikuyaona zaidi ya Pick Up moja ambayo ilibeba wafuasi wa CHADEMA? Walipitia Kivukoni Front hadi Morogoro/or Azikiwe hadi Bibi TT au walizungukia Ocean Rd?
   
 15. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nadhani ipo nyuma ya kibosho pale kwa mzee shayo
   
 16. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Hongera sana mkuu. Kimeeleweka!
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Hata makengeza nayo ni macho.
   
 18. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Ile kesi imeamuliwa kihaki kabisa na wakikata rufaa ujue wanaogopa kivuli chao wenyewe!!yule mama amechemka hata kuomba ubunge ubungo labda angeenda sehemi ingine na pia amekosea timing,kwa magamba si sasa labda miaka 5 nyuma kwa sasa gwanda tu litatesa mijini ambako mwamko si ule wa uoga na zamani tena!!wajipange sana maana 2015 watamwagiga wengi sanaaa
   
 19. M

  Makupa JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Lazima mtakuwepo kwa maana mmetangaA loh
   
 20. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu wana mapenzi mabaya hivi Jiji la Dar es Salaam linaweza kurindima sababu ya Mnyika, kwanza kuna watu wengine hata huyo Mnyika hawamajui.
   
Loading...