Wazanzibar kufunguwa kesi zidi ya uhalali wa Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibar kufunguwa kesi zidi ya uhalali wa Muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, May 22, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Tasisi mbali mbali na jumuiaa za kiraia ikiwemoo Jumuia ya Wanasheriaa wakujitegemea Zanzibar imeanza kutowa elimu juu ya uhalali wa Muungano wa Ilokuwa Jamuhuri ya Watu wa Tanganyika na Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar.
  Kuna form zilizo sambawa katika mikoa yote 5 ya Zanzibar ili wananchi wandikee majina yao nombari ya kitambulicho au passport sehemu unayokaa familia yako sign no ya simu kama unayo na maelezo mengine muhimu yanayo hitajikaa .
  Hatuwa hii ni baada ya Wananchi wa Zanzibar kubanwa kwa kipindi kirefu na kutokupewa fursa ya kutokujadili Muungano wenyewe wa Ilokuwa Serekali ya watu wa Tanganyika na Serekali ya watu wa Zanzibar.
  Hatuwa hii imekuja baada ya Mh Rais Jakaya Mrisho kikwete kusema kuwa maswala ya kujadili Muungano katika mfumo wa katiba mpya hayapo ni hadidu za rejea .
  Hali hii imesababisha kuleta shaka kubwa zidi ya Wananchi wa Zanzibar kuona kuna siri gani hata Muungano usijadilike katika katiba mpya kuwauliza wa wa pande zote husika kuwa wanataka Muungano upi au Kawasaki basi sio kitu cha kulazimishwa .
  Kwa mujibu wa Mh Kikwete anasema mafuta yaloko Zanzibar yanajadilika lakini Muungano hauwezi kujadiliwa, Jee kuna siri gani hata wananchi wasiweze kujadili Muungano?.
  Kwa upande wa mahkama kuu ya Zanzibar hii itakuwa ni kesi ya pili kufunguliwa zidi ya uhalali wa Muungano, kesi ya kwanza ilifunguliwa Katika Mahkama kuu ya Zanzibar na kupelekwa nakala katika jumuiya ya Umoja wa mataifa UN.
  Kesi hio ilikuwa nikumuliza mwanasheria mkuu wa Zanzibar kuwa awaonyeshe mkataba halali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kujuwa ni mkataba gani ulopelekwa UN kwa kufuataa vigezo gani vya Muungano.
  Lakini mwanasheria Mkuu anasema katika ofisi yake hakuna mkataba wa Muungano na UN ilijibu kwa kumtumia Katibu mkuu wake Ben Kin Mon kuwa mkataba pekee ulioko Un ni ulowakilishwa na upande mmjo tu wa Muungano yani Tanganyika .
  Sasa siri kubwa ya Mh Kikwete kusema kuwa Muungano usijadiliwe na kuweka kufuli yani (untouchable) nikuwa huu Muungano ni fake na hauna mkataba halali wa pande mbili zilizo ungana kwa vile uliopelekwa UN ni mkatabaa fake na ulochakachuliwa upande moja wa Muungano Tanganyika .
  Ule mkataba halali na wenye makubaliano halali ya Muungano haupo na likuta ni Nyerere kuwa na zamira mbaya zidi ya Rais wa Zanzibar, mara nyingi nia safi hairogwi ndio ukaona ubaya wa kuwa na zamira mbaya mizimu yake ni hii inayo usumbua huu Mundane .
  Muungano nikitu kizuri na sio kibaya na ndio ukaona nchi nyingi duniani zimeungana EU,Arab,African Union, lakini kila nchi ina samani kwa mwenzake na kuyasimamia yele walio yaingiza katika makubaliano ya Muungano.
  Jee huuwetu uko hivyo , mimi sioni kuwa yupi mwenye kufaidika katika Muungano huu? Ukija kwa upande wa Ilokuwa Tanganyika wao wanajihisi ni Victim wa Muungano huu kwa kupoteza historia ya likuta nchi yao Tanganyika na ukija kwa upande wa Zanzibar , Zanzibar IPO lakini boya nguvu zote ziko chamani.
  Jee wakumbebecha lawama hii ni nani? njia pekee ilokuwaa kunusuru Muungano nikupewa fursa wananchi wapande zote husika za Muungano kutowa maoni yao infamy gani wa Muungano wanautaka? Na kama ikitokezea kusema upande mmoja Kawasaki basi inabidi uamuzi wao uhishimiwe kwa vile Muungano ni nchi mbili zilokuwa na Dola zao huru, kuendelea kupuza na kugagania huo ni udiktetor na nikwenda kinyume na democrasia ,katika makubaliano ya Muungano kila nchi ilitumbukiza mambo yake na yakabakia yale tu yasio ya Muungano kusimamiwa na nchi zao.
  Jee mambo yalikwenda hivyo,jee ulimwengu huu kuna mtu yoyote kwenye kupoteza Dola yake mmoja kujifanya super power na mwengine kuwa weak?.
  Hii sio halali hata kidogo na swala hili ndio linalojenga hasiri zidi ya wananchi wa Zanzibar kuona Dola yao imepotezwa kwa kisingizio cha ujanja wa Nyerere wa Muungano.
  Katika makubaliano ya Muungano Rais wa Zanzibar wakati huo Mh Abedi Amani Karume aliridhia umakamo wa Rais katika Serekali ya Muungano kwa masharti walio bubaline na mwenzake kuwa makamo wa kwanza wa Rais na Zanzibar isipotezee identity yake kwa vile upande moja una watu wengi mwengine una kidogo .
  Hayo yote yalipuzwa baada ya Mh Karume kufariki na baadae Tanganyika kuvaa koti la Tanzania na Katiba ya Tanganyika kuwa ndio katiba ya Tanzania , na haikuishia hapo tu maamlako yote baada ya Rais alochaguliwa na watu wa Zanzibar kuwa makamo Rais wa Muungano alinyoyolowe mpawa na kuwa Waziri asio na wizaraa malum na kuingizwa katika baraza la mawaziri akiwa ni mjumbe wa Baraza bosi wake ni Waziri mkuu ambae ndio msimamizi wa Mawaziri.
  Situation hii nazani hata nyiyi Watanganyika musingeweza kuku Bali au kuivumilia, mwicho wa haya ni zarau na maneno yasio make sense ni pale Mh Mizengo Kanyanza Pinda aliposema kuwa Zanzibar sio nchi? Jee kama Zanzibar sio nchi tunatengeneza katiba ya Muungano gani? Na vilify ungana ni nini vijiji au wilaya?.
  Hii ndio zarau ilio wafanya Wazanzibar wauchukie Muungano huu na kuona baada ya Muungano umekuwa ukoloni zidi ya Dolo ilokutwa huru na mambo yake yote ya ndani na ki-international sasa leo kusema Zanzibar sio nchi umekusudia nini Pinda?.
  Tukija katika kuifumuwa na kuiandika upya katiba mpya mwanzo wa hayo rais alachaguliwa na watu wa Zanzibar kuwakilisha kiungo cha Muungano hakushirikiswa katika mswada wa mwanzo wa katiba , mbaka wananchi wa Zanzibar kuja juu ndio likabadiliswa goma, sasa kama sio zarau hii ni nini?
  Hivi sasa unambiwa katika baraza la mawaziri na linalosimamiwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano na Waziri mkuu, ikiwa Rais hayumo katika baraza basi litasimamiwa na makamo wa rais wa Muungano,ikiwa makamo hayupo basi litasimamiwa na waziri mkuu , hii ni zarau ya mwisho kumzalilisha rais wetu na watu wake.
   
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,765
  Likes Received: 4,980
  Trophy Points: 280
  Kakke,

  ..soma nukuu ya walichoandika wasomi wa Zanzinet.

  ..ni kwamba mpende msipende Zanzibar inaihitaji Tanganyika kutokana na sababu za kiuchumi.


   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hawa wanalialia sana! Binafsi natamani Muungano huu uvunjike halafu tujipange upya. Nadhani tutaelewana zaidi pale watakapogundua tunawalea sana! Mtoto hawezi kujua mfuko wa baba hadi atakapolala njaa!
   
 4. a

  abu alfauzaan Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani zanzibar kuna kipi kipya kinachowafanya watanganyika wawanganganie wazazibar?kma visiwa mnavyo,bahari mnayo,cjaona mlichopungukiwa ambacho mtajtosheleza kwa zanzibar,2achieni 2pumuee...
  kama kuungana kaunganeni na majiran zenu rwanda,kenya na wengne,
  maumbile ye2 ya kijiographia yanakataa kuwa pamoja,
  2acheni 2pumue...
  FREE ZANZIBAR FROM BLACK COLONY,

  ZANZIBAR HURU BILA YA MIJIZI MYEUSI INAWEZEKANA
   
 5. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  kama hukueleshwa basi huwezi kujua,kama sio msomi hasa katika nyanja za uchumi na kisiasa huwezi kujua faida ya muungano,lakini nakupa moja tu kwa fiada ya tanganyika kwa kutumia muamvuli wa muungano,watapokwenda nje kimataifa wanapoomba misaada au wanapopewa misaada hupewa kwa jina la muungano,na muungano unajulikana kama ni wa nchi mbili,kuna mafungu mawili sawa hutulewa ambayo ya mataifa mawili yalio kuwa huru na kuungana,fungu hilo nono wanapopewa tanzania/tanganyika huchukua na kulikumbatia wao tu,ndio munavyo faidika kiuchumi.


  Kisiasa,tunashindwa kumchakuwa kiongozi tunae mtaka wazanzibari,na kutumiwa mabavu ya watanganyika kumchagua munae mtaka huko dodoma,na kuwapachikia wazanzibari,huo ndio mfano tosha.
   
 6. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  kama hukueleshwa basi huwezi kujua,kama sio msomi hasa katika nyanja za uchumi na kisiasa huwezi kujua faida ya muungano,lakini nakupa moja tu kwa fiada ya tanganyika kwa kutumia muamvuli wa muungano,watapokwenda nje kimataifa wanapoomba misaada au wanapopewa misaada hupewa kwa jina la muungano,na muungano unajulikana kama ni wa nchi mbili,kuna mafungu mawili sawa hutulewa ambayo ya mataifa mawili yalio kuwa huru na kuungana,fungu hilo nono wanapopewa tanzania/tanganyika huchukua na kulikumbatia wao tu,ndio munavyo faidika kiuchumi.


  Kisiasa,tunashindwa kumchakuwa kiongozi tunae mtaka wazanzibari,na kutumiwa mabavu ya watanganyika kumchagua munae mtaka huko dodoma,na kuwapachikia wazanzibari,huo ndio mfano tosha.
   
 7. a

  abu alfauzaan Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uchumi uwo mliofaidika mbona hauwonekanwi?
  njaa,madeni,mfumko wa bei,wizi na ufisadi.nk ndo vloikumb tanganyka,
  mbona kenya hawajaungana na wapo juu?
  labda nje ya muungano matatzo ya watanganyka yatazd,
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,950
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  ,
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,950
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  aisee poleni sana. Si mlianzishe
   
 10. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180  Wanachodai Wazanzibar ni haki yao ya kimsingi,kwa ni kabla ya Muungano kulikuwa hakuna maingiliano ya kibiashara kati ya Wazanzibar na Watanganyika? Jee Nyiyi hamufanyi biashara na Wa-Zambia,Malawi,Uganda,Kenya(Wachina na Wa Lebanoni) etc au hao mumeungana?

  Kuvunjika kwa Muungano hakuhusiani na mambo ya kibiashara rabda iwe mumekula donge na kufanya safura?haiwi ndowa inavunjika na huku mumezaa, itakuwa Ilakuwa mshirika Tanganyika na Zanzibar?

  Sisi Wazanzibar hatupendi udanganyifu na ulahai Tuliungana kwa moyo Safi na mshirika mwezetu alokuwa Tanganyika na hii leo Tanganyika haipo na Zanzibar tunambiwa sio nchi kama sio nchi (Jokakuu),jee muliungana na mkoa au wilaya?.

  Na ikiwa Zanzibar sio nchi ni nini? na kuna faida gani ya Muungano? Musiwe wakali kuskia Zanzibar hawataki tena Muungano ikiwa Muungano kufa umekufa tokea kifo cha Tanganyika na katiba yake, na hii ni kujitakia wenyewe.

  Sisi hatuna nongwa na Watanganyika waishio Zanzibar ,

  http://www.mzalendo.net/habari/hofu-ya-mtanganyika-nje-ya-muungano-ni-hii  Video – Muhadhara Lumumba tarehe 26/4/2012 ’1' | Mzalendo.net
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,765
  Likes Received: 4,980
  Trophy Points: 280
  GHIBUU,

  ..wananchi wa Zanzibar ni kama 3% ya wananchi wa Tanganyika.

  ..Zanzibar haiongezi chochote kile ktk misaada tunayopata toka nje.

  ..sana sana mnafaidika kwa kuwa ubavuni mwa nchi kubwa yenye heshima na umuhimu ktk medani ya kimataifa.

  ..nje ya muungano Zanzibar haina maana yoyote ile kama ilivyo Comoro ambao mnafanana nao kiutamaduni.

  ..tunakupeni umeme bure na mishahara ya SMZ tunalipa halafu mnakuja kututukana kwa kukosa shukurani.
   
 12. J

  JokaKuu Platinum Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,765
  Likes Received: 4,980
  Trophy Points: 280

  Kakke,

  ..mimi nakuwa mkali pale Zanzibar inapotaka kuendelea kutung'ang'ania kwa kuja na hoja ya kuwa na muungano wa "mkataba."

  ..WHAT DO U WANT FRM US KAMA SI KUENDELEA KUTUNYONYA TU??

  ..Zanzibar imekuwa ikineemeka kwa damu na jasho la wa-Tanganyika toka enzi za utumwa mpaka leo tunapowapa umeme bure na kuwalipeni mishahara.

  ..binafsi sioni mantiki ya Tanzani, now and in the future. Naamini ktk kuvunja muungano na ushirikiano wa Zanzibar na Tanganyika uwe sawa na ushirikiano wa Tanganyika na Zambia, Kenya, Uganda etc etc.

  ..Tatizo naona kuna wa-Zanzibari wanaoleta hoja ya kuwa na "muungano wa mkataba" kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sasa najiuliza mkataba gani, na wa nini? Kwanini tusiachane tu tukashirikiana kupitia jumuiya za kimataifa kama EAC,SADC,etc etc??

  ..Kitu gani ambacho mnadhani mtakikosa kupitia EAC, au SADC, mnataka kuwa na "mkataba" kati ya Tanganyika na Zanzibar??
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ngoja tume ya katiba iende Zenji, tena napendekeza waanzie huko, ili flow yao iwe nzuri. Wasije wakatwanga maji kwenye kinu. Hapa naona cheche, inatosha kuita fire brigade.
   
 14. a

  abu alfauzaan Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  km hujui mulize jk,wazanzbr wanalpia kiac gani kweny umeme?
  nyie mlivo kua wabaya wa roho,choyo na husda kwa wazanzbr mnaweza kuwasaidia wazaznzbar?
  bora kuish na paka kuliko kuish na wa2 wabaya km nyinyi mso haya wala hamjui vibaya,
  nyiny kwa ubaya wenu,mko tayar wazanzibar wote wafe,ndo mtaridhka
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mimi nashangaa wanaowangangania.....
   
 16. J

  JokaKuu Platinum Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,765
  Likes Received: 4,980
  Trophy Points: 280
  abu alfauzaan,

  ..wa-Tanganyika tungekuwa watu wabaya wa-Zanzibar wasingeweza kuishi kwa raha na amani ktk ardhi yetu.

  ..tumepokea wageni toka nchi mbalimbali jirani zenu na wengine wamelowea kabisa Tanganyika.

  ..wa-Tanganyika tuna sifa mbaya nyingi tu, lakini hii ya kuwa na roho mbaya, choyo, na husda kwa majirani zetu unatusingizia.

  ..swali langu liko palepale: kwanini wa-Zanzibar hamtaki kuwa sawa na Zambia,Kenya,Malawi, etc, badala yake mnataka "muungano wa mkataba" na wa-Tanganyika? Huo mkataba utakuwa na faida gani kwa wa-Tanganyika??
   
 17. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,401
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280

  Duh! Napita njia, nitarejea!!!
   
 18. Mama Yeyoo

  Mama Yeyoo Senior Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aisee hiyo roho inaungua kwa chuki ...!!kweli tunahitaji watu wa namna hii km parners ktk muungano....?huu ni ubaguzi wa rangi...so the idea is to get rid of mijitu myeusi frm bara...mkikamilisha hili mtatafuta mijitu myeusi iliyopo huko visiwani pia muisongeshe nje ya visiwa....natamani nikuone sura ilivyokunjamana kwa chuki kali...!?lo...!!!mbayaaaaaaaaaaaaasaaaaaaaa...!!!?
   
 19. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu upeo wako mdogo na elimu yako ndogo,usichukulie udogo wa visiwa vya zanzibar na population yake ukalinganisha na tanganyika na ukubwa wake na wingi wa watu wake,nakufahamisha kwanza.

  Kimataifa nchi yoyote haichukuliwi wingi wala ukubwa inachukuliwa kama ni nchi sawa na nchi nyengine,na ndio ukaona katika umoja wa mataifa nchi yoyote ile hata iwe kama sudani ,au usa inakuwa na muakilishi wake mmoja,au umewahi kusikia china,india na nchi neyengine zenye population kubwa na ardhi kubwa wamewakilisha watu 2 au zaidi ya wawili ndani ya umoja wa mataifa UN ?

  Zanzibar iko sawa na nchi nyengine yoyote duniani na ina haki ya kupata msaada au mkopo wowote ule sawa na nchi nyengine,japokuwa na udogo wake na population yake ndogo.
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  bora waue muungano kama walivyo fanya eac. lakini wakienda mahakani kesi huku itatoka baada ya miaka 40. hapa naomba watumie ubabe kujitoa. ntawashukuru sana.
   
Loading...