Wabunge EALA kulamba shs 17 milioni kwa mwezi

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,751
595
Huo ni mshahara tu! posho kwa kikao dola 600 mkopo wa gari milioni 90. pia wana haki ya kukopa hadi Tshs 400 milioni kutokana na mishara yao.

Chanzo: Gazeti la Jamhuri la 22 - 28 May 2012
--------------

Kwa mujibu wa Gazeti la The East Africa la Kenya la January 25, 2014.

EALA MPs now earn $14,908 in pay, perks

In Summary:
  • The MPs are expected to earn $6,408 as their basic salary, up from $5,200 following an approval by the EAC Heads of State at their November Summit in Kampala that the increment be included in the 2014/2015 budgetary allocations to the EALA.

The East African Legislative Assembly (EALA) will be the highest paid in the region and second only to Nigeria on the continent following the approval of a $1,208 increment to their basic salary beginning July.

The MPs are expected to earn $6,408 as their basic salary, up from $5,200 following an approval by the EAC Heads of State at their November Summit in Kampala that the increment be included in the 2014/2015 budgetary allocations to the EALA.

In the proposed EAC budget, EALA has been allocated $14.7million, 6.3 per cent higher than their 2013/2014 budget. The MPs are entitled to a sitting allowance of $400 per day and medical/travel insurance.

Considering that the average sitting days for the MPs during plenary each month is 12 days, their allowances add up to $4,800. But they would rake in about $8,500, given that when not in plenary, they do committee work. The MPs will now take home $14,908 per month, including the allowances.

Apart from the basic salaries the MPs receive from the EAC Secretariat, they are given facilitation allowances by their states of origin for activities such as sensitising citizens on EAC matters as required by the EALA regulations.

READ: Kenyan EALA MPs say allowances for community activities unpaid

“The second EALA earned the same perks but the first assembly started on a lower figure, at one point as low as $1,200,” said an EAC official. “The second assembly raised it following a strong appeal that they were regional legislators deserving better pay.”

So far, EALA MPs have enjoyed better pay compared with other national Parliaments in the region apart from Kenya.

The Kenyan politicians were the highly paid in the region and second in Africa after the Nigerian lawmakers with a basic monthly salary of $13,740 that is subject to an annual increment of 8 per cent. Their Nigerian counterparts, the global leaders, earn a monthly salary of about $15,800, excluding the allowances. Uganda MPs earn a monthly salary of $8,715, Tanzania $7,266 while Rwanda MPs earn $1,271 per month.

In the EAC budget, each partner state makes an annual contribution towards the functioning of the secretariat, Court of Justice, the Inter-University Council and EALA.
EALA is the legislative organ of the East African.

Source: The East African Online
 
huo ni mshahara tu! posho kwa kikao dola 600 mkopo wa gari milioni 90. pia wana haki ya kukopa hadi Tshs 400 milioni kutokana na mishara yao.


chanzo gazeti la jamhuri la 22 - 28 may 2012
Duh! mkwanja mrefu sana huo,kumbe ndio maana LE MUTUZ, LE BAHARIA @ MATONYA CITY alikuwa anapigania sana kupata huo ubunge.
 
Its wonderful ,wakati walimu wanalamba wengine hadi laki moja na sitini kwa mwezi wengine wanapata mil 17 kwa mwezi,lakn pia polisi ambaye hajafanya wala kufaulu mtihani mgumu wa kiswahili anapata kiinua mgongo sio zaidi ya mil 10.
 
Daah! Kweli wabongo choka yani huo ndo mshaara wa ku'make headline?!? Poleni!

"Wabongo choka" ndiyo sababu inayotufanya tupige kelele, kama tusingekuwa choka kelele tungepigia nini?

Nchi yetu masikini, hatuwezi kumudu mishahara ya ajabu kwa viwango vyetu.

Mi nilifikiri utatusema "wabongo mnazo halafu wabahili" kumbe wewe mwenyewe unajua kwamba wabongo choka, sasa unashangaa nini tukikomaa na hivi bwanyenye wewe unavyoviona ni "vijisenti" tu?
 
Sijui tunawapimaje hao wabunge maana wengine wamekaaa 5yrs bila hata kuongea jambo lolote!!hii haina maana kabisa na wala haina mashiko wakikutana na wa Kenya na Uganda wanabakia kupiga makofi na kuja kusemea vijiweni wakirejea ila ndani vikao wanashindwa kujenga na kutetea hoja!!
 
hivi budget ya UMOJA ni kiasi gani na sisi tunachangia kiasi gani tuone output kama inalipa.
 
Naanza kuamini NILICHAGUA FANI ISIYO SAHIHI; UBUNGE (sina uhakika kama ni uana-siasa) NDIYO KWENYE MAPATO MAKUBWA YASIYOWEZA KUKULETEA MATATIZO KiSHERIA (wengine wanaopata kiasi hiki na zaidi ninaamini ni WAKWEPA KODI NA WAUZA MADAWA HARAMU). Yaani mishahara ya miaka kadhaa MH anakomba kwa mwezi????

Kwa hali hii RUSHWA; ULOZI na HATA KUTISHIANA MAISHA havitakosekana katika duru hizi za siasa!!!
 
Million 17 kwa mwezi ni mshahara wangu wa miezi takribani 56 dahhhhhh kwani hawa kazi yao kubwa ni nini na hiyo wanalipwa na sisi tunachangia kiasi gani.
 
Hongera zao wabunge wa EALA.
Hizo pesa zinatoka kwenye account ya wapi?
 
Back
Top Bottom