CHADEMA tuombe toba kwa CUF!

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Ni lazima penye ukweli tuseme ukweli jamani, ili tusirudie makosa.
Kipindi CUF walivyomtimua Hamad Rashid kwa kitendo cha kutumia press conference kumshtumu seif Hamad (katibu wake wa chama) kwa tuhuma mbalimbali tena badala ya kutumia vikao halai vya chama. Wanachadema wengi tuliishtumu CUF kwa kumwajibisha Hamad Rashid na kusema kwamba wamemnyima demokrasia ya mawazo pia hata Zitto kabwe akadiriki kumpinga jussa kwa kitendo walichomfanyia Hamad Rashid. Sasa hatimaye yale tulokiwa tukiwabeza CUF sasa leo kwa CDM yanaonekana kupitia Shibuda, juliana shonza
ambayo ni sawa tu na yale ya Hamad Rashid, Kiukweli hata sisi wanaCDM hatufurahishwi kabisa na Shibuda pamoja na yule dada wa BAVICHA so inabidi tukiri kwamba hata CUF was ryt kumbeza Hamad Rashid kwani waliyapitia haya haya machungu tunayoyapata sasa juu ya hawa virus ambao kiukweli hawafai ktk ustawi wa chama chochote kile cha siasa.
"NATUBU, CUF WAS RYT"
 
Back
Top Bottom