Waandishi wa habari na vyombo vya habari Tanzania niaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari na vyombo vya habari Tanzania niaje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 7son, May 25, 2012.

 1. 7

  7son Senior Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inasikitisha sana kuona kwenye tuzo za CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST AWARDS 2012 hamna jina la chombo cha habari wala mwandishi wa Tanzania. Nashindwa kuelewa tatizo ni nini, au habari zetu tuziandika from the air so hazina utafiti, au tuko shallow? Hii inabidi tufanyie kazi kuliko kubaki tuaandaa tuzo zetu wenyewe mana tukishindanishwa na watu wa nje hatuwezi, THIS IS SHAME KWA NCHI AMBAYO INADAI INA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI. TUSAIDIANE KWA HILI KULIKO KUBAKI WASINDIKIZAJI KWA KILA KITU
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  rusha tupu, wanapindisha hata habari za kweli, nimesikitika sana, kuna magazeti kama Mwananchi nalo limeanza kuandika habari za ki-puuzi kabisa. Tuna bahati kuna vyanzo vingi sana vya habari kwa sasa, likisemwa hivi, watu wa magazeti watalipindisha ili lionekane ni maana sana.....mfano sura la shibuda ni upuunzi mtu, lakini angalia wanavyolikomalia , mara chadema kwa chafuka.... ukisoma ni lambo ya kitoto kabisa
   
 3. 7

  7son Senior Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nina wasiwasi sana na mafunzo wanayopata, ni bora wakatafuta namna ya kuripoti habari muhimu za kijamii hususan siasa mana hapo ndo penye utata, wanakomalia habari ambazo hata hawajazifanyia utafiti
   
Loading...