Weka eneo hapa tukutane penye bata za ukweli hata kama huna pesa njoo tu. PIPOZ PAWAAAA.
Wakina Ritz wamefyata wanataka kuleta udini
ritz na faiza fox wanaweza kusema jaji upendo msuya anatoka kasakazini, teh teheeeee
Halafu bado mnakiita chadema chama cha kuwatetea walalahoi....
Siku zote mie naheshimu uhuru wa mahakama hayo ya kaskazini umeyasema wewe.
Rombo Green View......
Mimi nikitoka hapa kazini jiioni break ya kwanza London Bar pale karibu na TFDA External. Mnasemaje wadau?
weka eneo hapa tukutane penye bata za ukweli hata kama huna pesa njoo tu. Pipoz pawaaaa.
Mkuu maeneo yangu hayo. Muziki laini, mechi kwenye screen ya kujinafasi, parking na ulinzi wa uhakika na nyama choma. Ila nasikia mmiliki wake ni fisadi wa BOT Mnyalu wa Kweli.Mimi nikitoka hapa kazini jiioni break ya kwanza London Bar pale karibu na TFDA External. Mnasemaje wadau?