B baraka moze Member Apr 21, 2012 99 3 Jun 4, 2012 #1 Kama ni haki udini unaingia wa nini? Kwani kuchoma makanisa kutasaidi kupatiwa ufumbuzi maswala yao?