Huyu ndiye Waziri wangu wa Sheria na katiba

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wakubwa!...,Huyu ndio waziri wangu wa sheria na katiba.Aliweza kupambana kwenye kesi yake dhid ya kupinga matokeo ya ubunge wake akiwa mwenyewe,huku akipangua kundi la mashaidi wa kununuliali.kazi yake makini na uhakika,anajua nini anafanya,umahili hadi bungeni,kweli kazaliwa kuwa mwanasheria,kiongozi na mtetezi wa wanyonge naye ni Antipas Tundu Lissu
 
...."karibia thelusi ya bunge lala sasa limejaa wabunge wasiowajibika kwa wananchi,na ndio maana ni mafundi wa kugonga meza na kuzomea,kwa sabubu hawawajibiki kwa wananchi,tunataka bunge litakalo wajibika moja kwa moja kwa wananchi...Mhe Lissu,akiwa ktk Chadema square-26/5/12 DSMakichambua baadhi ya vipengele vya kuangaliwa kwenye katiba mpya
 
Kamanda Lissu,...wewe ni jembe letu linalolima mahala popote,hata kwenye mawe, werema anakujua vizuri anakukubali moyoni.kwa wale wanaosoma sheria inabidi wakuige
 
..."swala la udini zanzibar ni hoja ya kujishikiza,Hoja ni muungano".....Mhe Lissu katka kipindi cha kipima joto ITV kamanda akitumia taaluma yake kuonesha umahili alionao katika sheria,hadi raha
 
Mkubwa!....Kamanda Lissu niambie wapi nianzie kupinga sheria ya katiba mpya?maana nikiifikiria kichwa kinaniuma
 
JK: "Ni afadhali Dr. Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge"
 
JK: "Ni afadhali Dr. Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge"

teh!,teh!,teh!.....Mkubwa!mwingoni mwa watu ambao JK anawaogopa ni Lisu,naujua mziki wake,ni mtaalamu wa kujenga hoja kisheria,kisiasa,kisomi.JK alishaona watu wake wote walioko bungeni na serikalin kwa ujumla akuna mtaalamu wa sheria kama huyu jamaa,ni hatari.anaweza akakunasa kisheria ukajikuta unauaga uraisi mchana kweupe....HAKIKA HUYU NDIYE WAZIRI WANGU WA SHERIA
 
Mnyama lissu,jeshi la mtu mmoja ,mwanajeshi asiyechoka. Asiye piga meza bila sababu. Kamandaaaaaaaa
 
Mnyama lissu,jeshi la mtu mmoja ,mwanajeshi asiyechoka. Asiye piga meza bila sababu. Kamandaaaaaaaa

mkubwa!....akisimama huwa nacheki welema anahaha.akigonga meza jua kunajambo.HUYU NDIYE WAZIRI WANGU WA SHERIA
 
Du!. Kumbe sasa naanza kuelewa sababu za hawa magamba kufungua kesi feki juu ya ubunge wa Lisu na Mnyika. Kumbe uwepo wa hivi vichwa pale bungeni unawafanya Magamba wakose usingizi. Hongera jembe Lisu, Mungu atakulinda kwa faida ya watanganyika wenzako.
 
Back
Top Bottom