Tunajifunza nini kwa utendaji huu wa January Makamba?

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Aug 4, 2008
271
43
Nimeona picha ambayo January Makamba (MB,Bumbuli) alisambaza katika mitandao ya kijamii kama facebook page yake ikiwa na kichwa cha habari; "weekend work at Bumbuli Development Corporation in Dar"

View attachment 55334

Picha ambayo baadhi walipongeza na hata kufananisha na picha nyingine ya Barrack Obama hii;

View attachment 55335

Wakasahau kuna utofauti mkubwa sana kati ya picha hizo mbili hapo juu hata na watu wenyewe!

Bado Taifa letu lina kazi kubwa sana kwa kuwa na vijana wanasiasa hawa ambao wanaiga iga hadi mikao ya picha na kuisambaza mitandaoni toka kwa wanasiasa wa mataifani bila kuiga masuala mazuri ya kiutendaji. Mwalimu Nyerere alipata kunena; nilitenda mazuri na mabaya. Ujinga mnayaiga yale mabaya na kuacha mazuri!
 
Obama miguu juu lakin busy na docs,simu sikion. Jamaa miguu juu busy sjui na facebook au ..........anajua yeye.
 
hawa ni wale wale.......wapenda sifa na kujilinganisha
hutachelewa kusikia marekani wameniambia niwe rais 2015.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mjini kuzuru jamani watu wanajenga ofisi za majimbo yao dar ili wakiulizwa hawaonekani majimboni wasingizie hata dar wanaofisi kumbe hawataki kwenda
 
ofisi ya maendeleo ya bumbuli inatafuta nini dar???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom