Ezekiel Maige complaints catalogue

BORGIAS

Senior Member
Jun 3, 2012
134
57
Najua ataendelea kulalamika mpka mwezi wa 10.

sasa why not have a single thread ili tuendelea kupata burudani za malalamiko yake huyu jamaa?

mimi naenjoy sana kusoma malalamiko yake kila kukicha. Sitaki kumdismiss maana ndio kawaida ya system ya Tanzania
 
mwache mjinga huyo mshamba, alizani kazaliwa kuwa waziri , huwa ananifurahisha anavyovaa zile mokas za kichina akitembea zinainuka kwa mbele
 
hakuna haja, asubiri hatma yake mwenyewe. alidhani ni kazi ya maisha!!! ngoja aprnde kizimbani ndio ukweli utajulikana
 
Threads zote zimo humu ndani, yeyote hata wewe waweza kutengeneza database ya vilio vyake. Ndio mjue sasa kuwa falsafa ya Mwalimu iliyosema cheo ni dhamana haikuwahi kueleweka nchini.
 
Ni kweli cheo ni dhamana: Lakini Viongozi wetu wamefanya ccheo kuwa ni amana
 
Najua ataendelea kulalamika mpka mwezi wa 10.

sasa why not have a single thread ili tuendelea kupata burudani za malalamiko yake huyu jamaa?

mimi naenjoy sana kusoma malalamiko yake kila kukicha. Sitaki kumdismiss maana ndio kawaida ya system ya Tanzania

Atafika wa kumi kweli kabla hajapigwa pingu? ....
 
Back
Top Bottom