Kikwete asoma mwelekeo wa upepo, aruhusu mjadala wa Muungano kiaina. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete asoma mwelekeo wa upepo, aruhusu mjadala wa Muungano kiaina.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jun 3, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Rais Kikwete katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, katika kuongelea tukio la machafuko huko Zanzibar, licha ya kusikitikia uchomwaji makanisa na kwamba wanauamsho wanafanya kinyume cha malengo ya kusajiliwa, amesema pia uwanja uko wazi kujadili Muungano kwa kupeleka mapendekezo kwa Tume ya Katiba.

  [​IMG]

  Ikumbukwe wakati anatangaza kuanza mchakacho wa Katiba na pale alipotangaza Tume ya Katiba alitamka wazi kwamba Muungano usiongelewe. Rasimu ya awali ya sheria ya kupitiaji upya Katiba iliyopelekwa bungeni ilitoa tishio la adhabu kali kwa atakayekiuka maagizo na sheria ya marekebisho ya Katiba.
   
 2. Z

  ZIGZAG Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulikua upepo tu ule wa mwanzo umeshapita.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kinachonishangaza kila siku lazima kushinikizwa ndipo ulegeze moyo, naona washauri wake wanamshauri vibaya au hashauriki.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,222
  Trophy Points: 280
  "The hand writing on the wall" (or "the handwriting on the wall" or "the writing is on the wall" or "Mene Mene"), an idiom, is a portent of doom or misfortune. It originates from the Biblical book of Daniel chapter 5 in which the fingers of a supernatural hand write a mysterious message in the presence ofBelshazzar, king of Babylon, who is meanwhile drinking at a major feast. It is revealed by Daniel that the writing foretells the demise of the Babylonian Empire and the story concludes with the Persians capturing Babylon. The phrase "the writing is on the wall" is now a popular idiom for "something bad is about to happen.
   
 5. m

  momboka Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama washaur wake ni wakina nape,wasira, mwigulu unategemea nn?
   
 6. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazo zuri muheshmiwa wapeleke mapendekezo yao katika tume ya katiba kila kitu kina taratibu zake,tusizikeuke
   
 7. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Politics as usual, hajaruhusu Muungano kujadiliwa ila anataka kuwahadaa wazenji ambao hawataki Muungano. Mkuu hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi sio hadidu rejea za tume. kwenye hadidu rejea za tume moja ya maneno aliyoyasema wazi ni kuwa hii si tume ya masuala ya Muungano kwa hiyo hotuba hii haibadilishi zile hadidu rejea, vingine mtuambie kuwa tume imepokea maelekezo mapya but kama ni kutegemea hii hotuba is just politics as usual
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwa vile alisema mabadiliko ya sheria ya kuratibu kanuni itatokea mara kwa mara, ni mapema mno kwangu kukubaliana na wazo lako kwa vile bado ana nafasi ya kuwasilisha bungeni mabadiliko ya sheria kadiri ya kuhitajika.
   
 9. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sawa mkuu tusubiri tuone hayo mabadiliko kama yatapelekwa kwa wakati na kama kweli yatapekekwa, suala la Muungano wamelifanya kuwa kitu kishichoguswa mkuu ingawa wakati umefika lazima muungano uzungumzwe lakini pia kukubali kwamba rais amekubali muungano ujadiliwe kwa sasa tunajua sio
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama umegundua sijasema moja kwa moja kwamba Rais amekubali kujadili Muungano, bali nimesema amekubali kiaina. Hii ni kutokana na kusema suala la kujadili Muungano halikutakiwa kuiingiza Zenj katika matatizo kama ilivyotokea, kama ni suala la muungano wana nafasi ya kuongelea kwenye kamati ya kuratibu mapendekezo ya Katiba. Hii ni kauli ambayo haijawai kuzungumzwa na Kikwete na mara zote amekuwa kinyume cha kugusia Muungano katika mapendekezo ya katiba.
   
 11. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Moyoni wanasema jamani hata sisi tunashangaa tunamshauri vizuri tu lakini akienda home akirudi utasikia anatamka vinginevyo sasa sijui makusudi au home anapata ushauri mwingine au labda anakuwa usingizini bila kujijua wakati anaongea basi hakuna jibu kamili
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,892
  Trophy Points: 280
  kwani muungano ukivunjwa kuna mtu atakufa?
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mataifa makubwa kama Urusi muungano umesambaratika, na sasa UK unanyemelea, sembuse muungano wa kibongo?
   
Loading...