Bila uwepo wa CHADEMA nani angekemea ufisadi, unyonyaji na uonevu unaofanywa na CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bila uwepo wa CHADEMA nani angekemea ufisadi, unyonyaji na uonevu unaofanywa na CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Viol, Jun 3, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Wakuu mpaka leo sijaona chama ambacho kimetoa watu wenye msimamo na umoja kama CHADEMA, kuna vyama vipo tena vingi ila havisikiki, hata hakukwepo viongozi mmoja mmoja wa vyama vingine ambao walionyesha misimamo, kama walionyesha basi ni kwa mda tu na baadaye kugeuza misimamo yao.

  Bila Chadema kuwepo hii nchi ingekwaje na hawa CCM wangejichotoea rasimali za nchi kwa kiasi gani wakati sasa hivi wanapigiwa kelele na bado wanazichota, kusingekuwa na chama chenye msimamo nchi ingeshafikia wapi.

  Nawasilisha
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Tambwe hiza
   
 3. L

  Lapton2005 Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna
   
 4. M

  Mkira JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  MBUGA ZOTE NA MIGODI YA TANZANIA NA ARDHI VINEGUKWA VINAKARIBIA KUMILIKIWA NA WATU WASIOZIDI 100,MOSTLY MALECELA,S MWINYI'S KIKWETE'S,KIGODA'S, SUMAYE'S' LOWASA'S FAMILIIES, BAADA YA HAPO WANGEHAMIA KUUZA HATA WAKE ZETU NA KUHAKIKISHA TUNAbebeshwa kodi za kila aina hata kusikiliza redio, nyumba yako nk! rizt1 anegkuwa sasa ana makampuni ya mafuta kila wilaya ya tanzania!!
   
 5. Mtuhurumawazo

  Mtuhurumawazo Senior Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nadhani wangenyamaza kimya maana pamoja na kuwepo CHADEMA bado wanaiba mali ya umma
  Mafisadi:evil::evil::evil: wa ccm hata mchana kweupe:A S-baby:.
   
 6. Mtuhurumawazo

  Mtuhurumawazo Senior Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Niwakati wa chama cha upinzani (CHADEMA) Kuongoza nchi kwanzaia 2015, Mafisi wametuchosha.
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Bila CHADEMA tungeaminishwa kuwa ufisadi ndio haki na anayekataa ufisadi ndio mbaya wetu waTz. Licha ya CDM kukomaa lakini bado mafisadi ndio mashujaa huku mitaani kwetu kwa mali walizonazo na sisi tunaoishi kwa halali na vipato vya kawaida tunaonekana mafala.
   
 8. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  CDM imefumbua macho ya waTZ wengi ila kuna baadhi ya wanachama wake waliokosa busara na kuleta bangi katika mambo ya maana ndo wanaharibu
   
 9. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Ufisadi ulianza kukemewa tangu na tangu,Mrema moja wapi.
   
 10. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  When did you build interest on politics?
   
 11. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  I should ask you the same question. Kutoka kwenye profession ya udaktari baada ya kuendesha migomo na kuona haina maslahi au?
   
 12. K

  Kyindokyakombe Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila CHADEMA hata nchi yetu isingekuwepo maana ingekuwa imeshauzwa.
   
 13. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Said Bagaile ule mgomo usiotekelezeka wa wewe kukata tawi lamti uliuoukalia umefikia wapi, maana tayari mgodi wa dhahabu wa nzega karibuni utakuwa scraper kabisa.
   
 14. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Level M4C na kauli mbiu ya vua GAMBA vaa GWANDA ni mchakamchaka wanamagamba wako ICU.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...