Nenda Bob kamsalimie shelembi na chacha Wangwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nenda Bob kamsalimie shelembi na chacha Wangwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Jun 10, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mzee RASHIDI MAKANI...(R.I.P)

  NI PIGO PIA KWA MCHEZO WA SOKA

  Akiwa kijana na mwanafunzi wa tabora school alionyesha kipawa cha hali ya juu kwa kucheza mpira.

  Jambo hilo lilivuta hisia za wanafunza wenzake juu ya umahiri wake wa kucheza soka.

  Ndipo mwanafunzi mwenzake aliyejulikana kama Rajabu Kanyama akamtunga jina la Bob Makani.

  Lifahamikalo mpaka Leo.

  Atakumbukwa kwa busara na upeo wake katika kujua umuhimu wa nguvu moja katika upinzani...

  ndipo hata mwaka 2000 alikubaliana na CUF kugawana majimbo ya kugombea kulingana na nguvu ya chama na mahali husika.

  Pia alikubaliCUF na CHADEMA kuwa na mgombea mmoja wa Urais na walimuunga mkono Prof Lipumba.

  Leo kaondoka kawacha wapinzani wakitukanana na kuitana CCM B Mara mamluki..

  mara magwanda mara makamanda...

  MAKANI TANGULIA MAKANI RASHID BOBU.. NTAKUKUMBUKA DAIMA...

  Inalillah wainailahna Rajiuun..
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  CCM B acheni porojo kwenye msiba huu mzito wa mpiganaji wetu
   
 3. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kashinje Masanja bange zako kumbe zinafanya kazi mpk huku? Me nilijua zinaishia facebook tu
   
 4. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Aitwa Mohamed na si Rashidi,
  Alikuwa mpiagania haki wa kweli
  Hakuwa mnafiki
  Alisema kweli hata pale wananchi walipoaamua kuuza utu wao kwa kuuza haki yao ya kupiga
  kura,na wakati mwingine aliwaita vijana wanafiki kwa kumshangilia bila kujiandikisha
  Ndiye aliyetoa zao la hayati Shirembe Magadula na kumkabidhi mikoba ya siasa za Shinyanga.
   
Loading...