Ikiwa watu wa ZANZIBAR-- By Nyerere !! Zidumu fikra za Baba wa Taifa

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
".....Ikiwa watu wa Zanzibar bila ya kuingiliwa na watu wa nje na ikiwa wana sababu zao ,wakaamua kuwa Muungano umekua kero kwao kwa maisha yao na kwamba hauna maslahi na wao ,sitowalazimisha kubakia na Muungano huo,Muungano huu utasita pale tu nchi shiriki itakapoamua kujitenga..." By Nyerere ,alisema baada ya miaka minne tu baada ya kuunganisha Tanganyika na Zanzibar.

Sasa mnaposema zidumu fikra za baba wa Taifa,hapa WaZanzibari watakuwa wanazidumisha na kutaka kuzitekeleza.
Nashangazwa na wale wanaosema wataulinda muungano kwa gharama yeyote hawa ni wapinzani wa baba wa Taifa na wanachukia pale mtu anaposema zidumu fikra za baba wa Taifa.
 
Back
Top Bottom