Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi, ikulu imesha mjibu lema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, Jun 10, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Wakuu.
  Ule moto wa kujibu papo kwa papo wa kurugenzi ya mawasiliano ikulu umeishia wapi kwenye tuhuma alizomwaga Lema kujibu hotuba ya mkuu wa kaya?
  Kama kuna mwenye taarifa atujuze maana inawezekana safari hii imekuwa ngumu kumeza.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ikulu huwa hawajibu vitu personal, wanajibu vitu vya kitaifa. Sasa lema yeye ameandika utumbo hata usio julikana sasa anataka wamjibu nn? Labda ww umjibu
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Mkuu Genius.
  Walipo jibu kwa haraka Lema alipo vuliwa ubunge ilikuwa inshu ya kitaifa?
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yes, ile ni issue ya kitaifa , waraka huu wa lema umekosa mwelekeo, ww km umeusoma ni mambo personal zaidi kati yake na jk
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,961
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  wanajipanga,watakuja na ***** mwingine..jk ni janga la taifa..
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,951
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ukiona mtu mzima ka kaa kimya ujue kakubali alichemsha
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ikulu haiwezi kujibu vitu personal ww
   
 8. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,408
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160

  Tuhuma za rais kuingilia maamuzi ya mahakama unaita ishu personal. Nyie wafuasi wa Nape mna matatizo.
   
 9. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,481
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Hivi hapa Tanzania napo pana Ikulu?
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,596
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145

  kwani ikulu ni nini?
   
 11. a

  adolay JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 6,178
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Yule jamaa amekuwa very popular, kufuatafuata kutazidi kuwamaliza na kutazidisha zaid umaarufu wake.

  Wanaweza kujibu tu endapo unahoja, Rweyemam na kikosi chake wanazidi kudhoofika maana jamii inaelevuka kutoka gizani, nasasa mbinu za kusafishana zinaelekea kukwama, kuficha madudu na matatizo ya watawala kwa kupitia habari maelezo au press release ni ukoloni na haikubaliki.

  Tupo katika kipindi cha mpito (transition period) mfano ni pale hata wabunge wa chama tawala walipopiga kura dhidi ya kutokuwa na imani na wzr mkuu.

  Niwazi wameanza kusoma alama za nyakati japokuwa si rahisi kwao kuukubali ukweli.

  Tunasubiri kuona wanavyotumia kodi zetu ovyo kupambana na mabadiliko, ukimdhibiti lema wanaibuka wengine wengi vichwa zaidi, ccm and its leadership should learn to accepts the reality and pave the way to others for exercution of what they think can uplift the nation.
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,532
  Likes Received: 5,743
  Trophy Points: 280
  Vipi ile ya yule jamaa alietumia jina la salma kikwete kutangaza harambee mbona ikulu ilijibu? mmmhhh haya
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  nilibahatika kuusoma,,,,,unamhusu jka kama rais na kwa mujibu wa Lema rasi ndo alihusika kwenye kesi kama mkuu wa Dola,,,,,,
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  huyo mweehuuu,,,,anashindwa kuelewa kuwa lema alimuataki rais ndo kiranja wa taasisi ya urais,,,,,IKULU imeamua kukaa kimya maana haijielew
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ur not Genius ur Jinias BREINI
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  hapo sawa,,,huenda washauri wamesema anyamaze,,,,
   
 17. J

  Joshua G Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  GB hivi unalipwa kutetea au umejitolea. kama walipwa basi naombeni ccm na au system wakufute kazi, huna hoja kabisa. jamani wanaccm wenzagu ile tuhuma huwezi itetea kirahisi. kwa taarifa yako we mental brain vitu personal ya rais labda kuita jamaa waliocheza wote utotoni au shuleni wale nae mishikaki na wadanci kidogo in a private place na ulinzi ukiwepo. mambo mengi anakuwa restricted ili asiiiambishe yaasisi ya urais na skendo zote anakwepa.
  sasa maental brain rais anaambiwa "RAIS ALIINGILIA HUKUMU YA KESI YANGU" unasema ni personal. muhimili wa utawala unashutumiwa umeingilia muhimili wa mahakama,anaetuhumu ni mbunge na yeye anatoka muhimili wa bunge. anayetuhumiwa ndiye mkuu wa muhimili wa utawala,mkuu wa nchi,amiri jeshi mkuu ma mwenyekiti wa chama tawala. harafu mtu anasema ni personal issue. kuanzia leo naomba ujiite mental brain.
   
 18. J

  Joshua G Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe mental brain wewe,
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,099
  Likes Received: 4,202
  Trophy Points: 280
  Ikulu imeishatoa maelezo kuhusu suala la Lema, Ikulu ina mambo mengi ya msingi ya kufanya ya kitaifa na kimataifa, kwa hiyo hawezi kila siku kuongelea suala dogo la Lema ambalo halina tija yoyote kwa taifa letu.
   
Loading...