Jangwani: wafuasi CCM wadundana kugombea pesa

hii sasa nayo kali yaani Kikwete ameshindwa kuweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa pesa matokeo yake anagawa bure watu wanaanza kutoana ngeu, kesha prove failure ni bora aachie ngazi anaongoza nchi kama Class Monitor....
 
Huwa wanagawa 5,000 na usafiri wa mabasi sehemu nyingine! Kweli watanzania tunadanganywa kwa hela ndogo wakati welfare ni poor, almost no social security as it has been removed from the constitution!! Umaskin wa kipato ni 34% na wote chini ya povety line living below 1.25 USD per day ni 67.9%!!! And rural it is even worse. Nina hasira mimi!
 
Hao magamba badala ya kujadili mambo ya msingi ya taifa,wao wanagombania posho. Akili zao fupi kama mkuu wa kaya
 
CCM walitumia sh. ngapi jana kukodisha watu kwenda kuhudhuria mkutano wao Jangwani Jana? Mwenye taarifa tafadhali.
 
SAM_2389.JPG


Ridhaa ya mikutano hiyo una maana ni kivutio cha kupatiwa pesa? Picha hiyo hapo juu inaashiria nini? Hao wawili waliosimama mbele kando ya mwenye bodaboda kuna kitu kinachoendelea kwani wana wasiwasi, mmoja anatazama upande wa mwenye pikipiki na mama anamtazama mpiga picha kuona kama wanaangalia kinachofanyaka kati yao. Hali kama hii inaashiria nini katika siasa zetu?

Wanaonekana wamefungwa minyororo mizito shingoni wasiyoweza kujivua. Hata uwepo wao unaonekana ni kuvutwa si kwa hiari.

Ipo siku na si mbali kabla ya 2015 mambo haya yatawekwa hadharani na hawa hawa wanaotamba majukwaani kwani wanaijua vema siri ya yanayoendelea. Wakati ni ukuta, na ngoma inayovuma sana hatima yake ya kupasuka imefika.
 
Kazi ipo, ukitaka kupima kama watu wana moyo wa kujitolea ni kufuta posho zote ambazo si za muhimu pamoja na nauli kama wanazotoa CCM, ukiona watu wanazidi kuja bila kujali posho basi ujue hapo una wapiganaji au kwa lugha ya sasa una majembe. CCM inabidi siku moja waitishe mikutano bila kukodi magari ili waone watu wataitikiaje mwito na kama watakuja wachache itakuwa ni msaada kwao wa kujipanga maana kwa utaratibu huu haijulikani kama wanaokuja kwenye mkutano ni kwa ni njema kwani inaweza wakawa wanadandia lift ili wafanye mambo mengine
 
Back
Top Bottom