Chonde chonde mzee kisumo,hayo ya membe ni mtazamo wake yaheshimiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chonde chonde mzee kisumo,hayo ya membe ni mtazamo wake yaheshimiwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sammosses, Jun 10, 2012.

 1. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mh. Membe amezungumza maneno ambayo hayapendwi kusikika yakitamkwa na kiongozi ambaye mwenye dhamana kama ya Membe kwa wat wa CCM.Hii inatokana na kuwa wao wanafikiri watatawala milele na kuwafanya wengine wasindikizaji.

  Nasema hili kwani imekuwa ni desturi kwa CCM,hususani mzee Kisumo kukurupuka pale mtu anapotoa mawazo yake ambayo hayaendani na chama chake.Mfano tumeona akiwa anashinikiza mzee Sabodo kufukuzwa ndani ya chama kwakuwa tu amekisaidia chama cha CDM.

  Hatutegemei chama kikubwa kama hiki ambacho kila kukicha kina kimbizana na kivuli chake.Mawazo ya Membe yaheshimiwe kwani ametimiza majukumu yake kama raia na kuitekeleza ibara ya katiba ya Jamhuri ya muungano kuhusu uhuru wa kutoa mawazo.

  Hongera sana mh. Membe ulichokifanya ni ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia,upinzani si uadui jaribu kuwafunza na wenzako,kwani kuna watu hawajui kuwa Tanzania ni yetu sote.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  ccm sikio la kufa, kamwe halisikii dawa
   
Loading...