Ubora wa CHADEMA na unafiki wa CCM

ALEX PETER

Senior Member
Jan 17, 2012
117
23
1.

attachment.php


2.
attachment.php


3.

attachment.php


4.

attachment.php


1. Hii ni picha inayoonyesha kadi za cdm zilizorudishwa jangwani leo huku nyingi zikiwa hazina picha na bado mpya.
2. Moja ya kadi ya cdm iliyorudishwa leo jangwani huku ikiwa haina picha na muhuri umekosewa kupigwa umepigwa siyo mahala pake.
3. Hii ni picha inayoonyesha umati wa watu waliojitokeza kusikiliza mkutano wa cdm jangwani licha ya kutogharamiwa usafiri wala kupewa posho
4. Inonyesha umati uliojitokeza leo kwenye mkutano wa ccm jangwani licha ya kugharamiwa usafiri na kupewa posho bado watu wameshindwa kujitokeza.

My take: Nafikiri ni muda wa kufanya mabadiliko na mabadiliko ili yafanikiwe hatuna budi kueneza elimu ya uraia vijijini ili kusudi watu waamke na kudai nchi iliyo huru na inayothamini utu na wala siyo vitu kama sahivi

nilikaa nikategemea tutaambiwa ni kwa vipi watatua ugumu wa maisha au ni kwa vipi wamewashughurikia mafisadi na wezi wa mali za umma pamoja na viongozi wa halmashauri wanaokula pesa za maendeleo huku bwana mkubwa na watendaji wake wakitabasamu


mjadala uendelee
 

Attachments

  • CDM 2.jpg
    CDM 2.jpg
    50.4 KB · Views: 1,752
  • CDM 3.jpg
    CDM 3.jpg
    49.1 KB · Views: 1,397
  • CDM 1.jpg
    CDM 1.jpg
    136 KB · Views: 1,592
  • 601763_447845148567215_1042822311_n.jpg
    601763_447845148567215_1042822311_n.jpg
    69.5 KB · Views: 1,363
hata mi nilijua hizo cards ni za uongo tu jinsi zilivyorudishwa. Nape mwenyewe hajazicubali yeye ndo cazitengeneza. Peopleeeeeez poweeeeeeer foreveeeeeeeer eveeeer chadeeemaaaaa, I love Our real political party CDM
 
Magamba, yaani hata kugushi hamjui?

Hiyo picha ya pili kadi imetolewa tarehe 25May imerudishwa tarehe 10June? Kadi haina anwani ya mwanachama wala picha yake? Ukiangalia sahihi ya mtoa kadi na mwanachama mbona ni ile ile?

Yaani huitaji kutumia wataalamu kutoka IB (Idetification Bureau) ktk kuona huu upuuzi! Kadi genuine za chadema kwenye ukurasa wake wa kwanza zina security seal inayoonyesha muhusika kama kalipa ada au la. Sina uwezo kwa hili mnastahili kupelekwa mahakamani kwa upotoshaji huu.

Mwisho nimemkubali huyu aliyeleta huu ushahidi na hii ni dhahiri si wote waliokuwa meza za mbele ni wana magamba. Poleni.
 
Asanteni kuona na kutupa mbivu na mbichi, si mmeona hata saa kumi na moja haikufika wakafunga mkutano kuficha aibu?
 
Hivi leo mtanzania mwenye zake timamu akatoke cdm aende nyinyiemu! Na huu ushahidi unaonesha kushindwa kwa nape.

Eti anasema wasizichane,kadi zenyewe mpya zinarudishwa na makada wa nyinyiemu wenyewe,kweli nape ana isambaratisha nyinyiemu,hata kutengeneza muhuri feki wa cdm kashindwa.

Nape kwa nini haukujiandaa?
 
jamani kama ningekuwa kada wa ccm leo ningerudisha kadi ya chama pale chadema square nimelia kwa kuwaonea huruma wale watz wenzetu wakishangilia upuuzi wa kina nape bado inatubidi tuongeze dua kwa MUNGU awakomboe wale ambao bado amajajijua jamani dah!? TUTAFIKA KWELI?
 
Unafiki huu wa ccm kwa maslahi ya nani na nani wanae endelea kumdanganya HATUDANGANYIKI TENA. hivi hizo card wanazodai za CDM zimetoka tawi moja? na wote hawana picha? na wote kadi zao ni mpya? UKIWA MWONGO USIWE MSAHAULIFU
 
Kaka huo mkutano na hizo card zisikutishe maana ukiangalia hiyo kadi ni ya wiki iliyopita kitu ambacho kifikra haiwezi kuwa halali na pia siku zote mhuri hupigwa juu ya picha iweje hiyo haina picha na pia napenda katibu wa ilala atujuze je ile sahihi iliyoko kwenye hiyo kadi inahusiana na kiongozi yeyote wa hapo ilala ili ijulikane kama wamefoji au la, ccm inatakiwa kujitadhimini kwa kina,je waliorudisha kadi kutoka upinzani ni wengi zaidi ya waliohama kutoka ccm kwenye mkutano wa cdm?
 
Mwenyekiti wa CCM ni muongo aliyekubuhu unategemea katibu mwenezi wake na mawaziri wake watakuwaje,aibu kesho magazeti yatatoa picha ukurusa wa mbele kuwaumbua watasemaje sasa kama sio kumdhalilisha mwenyekiti wao Mh Jakaya KIkwete ambaye walikuwa wanampaka kwa mgongo wa chupa kila wakati Mh Jakaya Kikwete kumbe wanamuumbua mbele ya jamii CCM hovyoooooo kabisa
 
hata mi nilijua hizo cards ni za uongo tu jinsi zilivyorudishwa. Nape mwenyewe hajazicubali yeye ndo cazitengeneza. Peopleeeeeez poweeeeeeer foreveeeeeeeer eveeeer chadeeemaaaaa, I love Our real political party CDM
we kuna mtu anayeitamani ccm kwa wakati huu? yaani walichofanya pumba kabisa wewe wanaorejesha kadi wanabebwa na loli moja wanakaa pamoja wanafahamiana kadi mpyaa yaani hawa sio makini kabisa na chama cha haina hii ya vitu vya kugushi hata utawala wake ni wa kugushi nchi haiwezi kuendelea na watu wa kugushi ni hatari mno tuwapotezee 2015 mbali mnoooo
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom