Jamani hii ndiyo M4C niliyokuta Iringa on my way to Dar. Wewe kwenu ikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hii ndiyo M4C niliyokuta Iringa on my way to Dar. Wewe kwenu ikoje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kuku dume, Jun 9, 2012.

 1. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilipokuwa njiani kati ya Mafinga na Iringa mjini gari lilisimama na wachuuzi wakafika mara. Walikuwa wakiuza mazao mbali mbali lakini kundi la wauza nyanya lilikonga nyoyo yangu huku nikiwa na skafu ya CHADEMA shingoni.

  Walikuwa wakiuza "CHADEMA moja" haya yakiwa maneno ya wachuuzi hao na vidole viwili juu. Sikuhizi huko Iringa hawaiti elfu mbili bali "chadema moja huku vidole viwili vikiwa juu".

  Kwa hili BoT wanatakiwa kufanya maamuzi magumu.

  M4C forever!
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 6,108
  Trophy Points: 280
  Imetulia Mkuu!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Hata barabara kuu za mkoa wa tanga zote bendera za chadema juu kila kijiji
   
 4. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,497
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  wapenda mabadiliko siku zote watamwangalia mwanzilishi na mtetezi wa mabadiliko
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Siku zinakuja ambapo kila anayesikia jina la Chadema, sikio lake litawasha.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 6. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakika ukombozi ndo sasa,janja ya magamba imepata tiba. viva CHADEMA
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  nimependa huu mwamko........
   
 8. B

  Bob G JF Bronze Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mi pia nimeiona njiani toka Iringa mpaka Mbeya ni M4C ila lipo tatizo vijijini ambako news kupatikana ni shida bado wako nyuma sana
   
 9. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi Dar ni kijijini? Maana hawa ndio wanaongoza kuukata upinzani.
   
 10. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimefika ubungo kupanda gari. Kama kawaida na skafu yangu shingoni. Watu vidole viwili juu, wananiambia peoples power! Na pia wananiita 'we chadema!'

  M4C.
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  barabara ya bunda ukerewe bendera za cdm zipo juu ya miti shazi
   
 12. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Inanikumbusha mbaaaaalii!!!! We acha tu! Time will tell!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa maslahi ya magamba siyo na walivyo na akili mbovu hawachelewi!
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,028
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Hata mimi huwa najiuliza hilo swali lakini sipati jibu.
   
 15. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Niko maeneo ya Segera njiani ni burudani. Bendera zinapepeo ila pale Chalinze vipi? Mbona bendera za Magamba ni nyingi sana? Kijana wa Chalinze wacha kukumbatia uovu wa CCM...amka sasa. Hujachelewa.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 17. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,557
  Trophy Points: 280
  Kuna habari huwa zinanishibishaga sana.
   
 18. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ukitaka kuona skafu za chadema njoo angalia vijana wa hapa arusha.
   
Loading...