Taarifa: Bendera zote za CHADEMA zishuke nusu mlingoti kufuatia kifo cha M/kiti mstaafu

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Naomba nichukue nafasi hii kuwaarifu viongozi wetu wote wa chama ndani ya Dar na nje ya Dar es salaam kushusha bendera nusu mlingoti kufuatia kifo cha Mkt mstaafu Bob Makani, Kwataarifa zaidi tutawajuza baadae, ila kwasasa MNYiKA NA MZEE KIMESELA Wanajadiliana na familia ya marehemu.. R.I.P BOB MAKANI
 
ni jambo zuri kiwaenzi waasisi....lakini nadhani taarifa haijapitia njia sahihi. Wengi hatujui wewe ni nani ndani ya cdm... pia si viongozi wote wa cdm huingia jf... nadhani hili linaweza kuleta mkanganyiko
 
M

Jambo zuri sana kwa Mzee MAKANI ameitoa mbali sana CDM. rip mzee
 
Back
Top Bottom