Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana CCM mlieenda Jangwani na nyie mkatoa yenu. Sii siri move hii ililenga kujibu mapigo ya Chadema ambao walitinga hapo Jangwani na M4C. Wanavyosema wajuzi wa kabumbu wanasema katika...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
WanaJF, kwenye gazeti la Guardian la jana Mh. January Makamba aliandika makala yake ya kujitetea dhidi ya mtazamo wa mwandishi wa habari aliyesema si vizuri kwa yeye kuingilia TCRA. Katika...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Katika kipindi hiki ambacho tunapambana na changamoto kubwa kisiasa,tunahitaji kuwa na watu makini wenye ushawishi na uwezo wa kujenga hoja, na zaidi ni kuwa na uwezo wa kutumia kila fursa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wadau tujumuike, usikose live updates! Je atamjibu Wassira kwa kauli ya dharau pale chadema square!
0 Reactions
28 Replies
2K Views
POLENI WANACHADEMA na watanzania wote kwa kumpoteza Mzee Bob Makani. Naamini kifo chake kimeacha chachu itakayowaamsha wapenda mabadiliko wote na hasa vijana kutoka katika usingizi na naamini pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama alivyowahi kusema mwalimu mmoja kwa kuwaambia wanafunzi wake kwamba ukweli utawakomboa. Basi leo hii na mimi Ismail Mesaya nawaambia MIJADALA na MALUMBANO ya mawazo miongoni mwa wasomi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
https://www.facebook.com/#!/chademadiaspora
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu zangu kwa hali iliyopo ccm ya kujibu mapigo ya upinzani ni dhahiri sasa kuwa kile kilio cha kuwa na baraza dogo la mawaziri sasa linawezekana. kwa nini nasema hivyo ni hali iliyojitikeza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili swali huwa najiuliza kila siku,hivi ni kweli ni jumuia ya wanawake tanzania? Kwa nini uvccm haikitwa uvt? Je ni kwli sophia simba anawakilisha wanawake wote?ma ni lini atawatembelea baraza la...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Tumekuwa na kawaida ya kulaumu tu bila kuangalia sheria ambazo huongozwa na sheriamama ambayo ni katiba ya nchi. Katiba ya nchi haikatazi ushoga, bali inakazia haki za msingi za uhuru wa kila...
0 Reactions
76 Replies
9K Views
hatimaye ccm kimeamua kupita kusawazisha nyayo za chama cha ukombozi ( kama ilivyo kawaida yao tangu wawe maji ya shingo). kuna msemo usemao "deal with your character, not reputation"...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inaonesha jinsi gani ccm walivyofilisika kisiasa, kitendo cha kukodi mabasi na malori kutokea kibaha na kisarawe kwa garama nyingine za kuwalipa wajumbe wa nyumba kumikumi ni tosha kuwa sasa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
..Wakati vyama vya upinzani(haswa CDM)wakipambana kuleta mabadiliko ya kifikra kwa watanzania kujua haki zao za msingi dhidi ya watawala wao...wao chama tawala CCM wanaonekana kwa kasi hiyo hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Nimefika msibani kwa Bob Makani, Mbezi Beach jioni hii. Nimekuta sura nyingi za huzuni pamoja na ndugu na jamaa walio katika majonzi. Natambua kuawa Mzee Bob Makani alikuwa mmoja wa waasisi wa...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
naamini wote bila kujali itikadi zetu za vyama vya siasa tumepokea kwa majonzi(japo yanatofautiana) msiba wa mzee wetu bob makani. Kwa vijana wengi wa umri wangu,bob makani tulimwona kwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwa naelekea maeneo ya Tegeta wakati nakaribia stendi ya daladala kukawa kunaingia magari aina ya coaster yamebeba nadhani wafuasi wa magamba kwa vile yalikuwa yamepambwa kwa rangi za njano...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jf,naomba kujua hv kadi zikirudishwa zinaenda wap?kwa mfano chadema wanapeleka wap kadi za wanachama wa ccm wakirudisha kadi za ccm kwa chadema?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 UTANGULIZI: Mkutano wa Nane wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 12 Juni, 2012 na kumaliza shughuli zake tarehe 22 Agosti, 2012. Mkutano huu utakuwa na shughuli mbalimbali kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Serikali yalipa Sh5 bilioni wafanyakazi hewa 10,000 Serikali yalipa Sh5 bilioni wafanyakazi hewa 10,000 SERIKALI imepoteza zaidi ya Sh5.4 bilioni kutokana na kulipa mishahara kwa wafanyakazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
10th June 2012 Wimbi la `wanaojivua gamba` wavaa magwanda: Moto wa siasa uliowashwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwenye mikoa ya Mtwara na Lindi, umedhihirika kuwatesa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom