Ndg wanabodi salamu kwenu...! pia nitumie fursa hii kuwapa pole familia, cdm na wote tulioguswa na msiba wa kamanda wetu Bob Makani.
Leo nataka kumuweka wazi ndg philip mulugo nw elimu kuwa...
TEXT UPDATES:
Ni asubuhi tulivu ya Jumamosi na hali ya hewa ni nzuri kabisa.
CCM wanatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Jangwani ambavyo wapinzani wao wakuu walivibatiza...
Habari wanajf? Naomba mtu yeyote mwenye namba ya simu ya Mh. Dr. Emmanuel Nchimbi - waziri wa mambo ya ndani ani-pm! Namba yake binafsi, siyo namba ya ofisi. Tuko pamoja.
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.
Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.
aambiwa akawambie WaBara kuwa WaZanzibar hawatoacha kuzungumzia Muungano,angalia sehemu ya mwisho ,inayomhusisha mtu husika aliepokea hati iliyowasilishwa na Nyerere .
MTANGANYIKA NA MZANZIBAR...
Makinda kutoa tamko Mbunge anayetuhumiwa kwa rushwa
Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai amevunja ukimya na kueleza hatma ya Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel anayetuhumiwa kwa rushwa kuwa...
Kwa msiba huu tunaomba mkutano CDM square katika maombolezo ya mpiganaji Bob Makani kwani makamanda huwa hawaombolezi bali wanasonga mbele katika safari ya ukombozi ningeshauri Bob aagiwe hapo...
WAKATI CCM, ikihaha kujaza watu kwenye mkutano wake, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, amekidhihaki chama hicho kuwa hakiwezi kuendelea kutawala nchi kwa kuwalipia nauli, kuwabeba na...
ukiona unafadhiriwa usafiri na kupewa shilingi elfu tano kwenda kwenye mkutano wa chama ni dalili za chama hicho kufirisika kisera na ujue utazilipa hizo gharama,kwa kufisadi rasilimali za nchi...
Jana ni siku niliyoisubiria kwa hamu kuona nn kitaongelewa ktk mkutano wa CCM pale CDM square, licha ya CCM kuboronga ktk kuelezea facts na kutoa majibu ya kero zetu na muda mwingi kubase ktk...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimedaiwa kutumia mamilioni ya fedha kugharimia mkutano wake wa hadhara unaotarajiwa kufanyika leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam, katika kile...
Bajeti ya Mwaka huu 2012/2013 ni Bajeti ya Madeni
Serikali inapendekeza Bajeti ya TZS 15 trilioni(USD 8.75 Billion) katika mwaka 2012/13. Uchambuzi wa vitabu vya Bajeti unaonesha kwamba...
katika mkutano wa hadhara pale jangwani wasira alisema serikali ya ccm imejipanga kukabiliana na tatizo la sukari kwa kujenga viwanda VITANO(5) vya sukari. kwa miaka hamsini wameshindwa kujebga...
Ghosts of NMC come haunting?
By Felister Peter
8th June 2012
The National Milling Corporation which was privatised a few years ago is still in operation, run by a single...
MBONA HATUWASIKII MAASKOFU KULAANI HII KITU ????
Ni kanisa la full gospel bible felowship{FGBF-CHURCH} ni jaribio lakuchoma moto jengo la ibada,ambalo limeshindwa kwa mara ya tatu sasa.mara ya...
Jumamosi, 09 Juni 2012 | Mwananchi
NI YA KUJITATHIMINI KATIKA MKUTANO WA AU, KISA MADENI
RAIS Jakaya Kikwete amezuiwa kuwasilisha taarifa ya Tanzania kuhusu utekelezaji wa mpango wa...
Kwa maana rahisi ya neno kurudisha, ni kuwa unarejesha kule ulikochukua; lakini kwa "siasa za Tanzania", mwanachama anapohama chama kimoja tunasema anarudisha kadi kwa chama anachohamia. Mantiki...