Pendekezo: CHADEMA ifanye siku ya maombolezo ya Bob Makani Jangwani

Nelson Mmari

Member
Jun 5, 2012
8
6
Kwa msiba huu tunaomba mkutano CDM square katika maombolezo ya mpiganaji Bob Makani kwani makamanda huwa hawaombolezi bali wanasonga mbele katika safari ya ukombozi ningeshauri Bob aagiwe hapo Jangwani aka CHADEMA Square wengi tupate fursa ya kumuaga.

Pia tupate muda wa kujuza kazi na imani ya Bob Makani
 
so umeona sehemu ya kuwasilisha maombi hayo ni jamii forums??? we wa wapi?? stupid....badala ya kutake tym kuomboleza, ushawaza ushabiki wa kisiasa,....the guy is a legend....tumheshimu, tusitumie kifo chake kujipatia political gain....
 
hapa ndo pa kutokea maana huyu alikuwa mwanasiasa na siasa ichukue mkondo wake kama kawa
 
Nimeumia sana moyo.
Huyu mzee ametumia umri wake mwingi kwa faida ya CDM.
Ama kweli kifo ni tishio. Namkumbuka zaidi hasa siku ya kuagwa Regia( rip), ambapo mzee huyu alianguka, nadhani sababu mojawapo ilikuwa ni uchungu kumlilia Regia.
Naunga mkono hoja hii, mwili wake upelekwe cdm square siku itakayopangwa, ili apewe heshima inayostahiki na aagwe na wapenzi wengi iwezekanavyo.
Mungu amrehemu makosa yake.
Kazi yako imeingia kwenye utaratibu wa kumbukumbu muhimu za chama.
RIP BOB MAKANI.
 
Kila nikiiangalia kadi yangu ya zamani ya Chadema zamani,naiona sahihi ya huyu mzee,nakumbuka cku ananipatia kadi ile,ntakukumbuka mzee,na MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA PEPONI!
 
so umeona sehemu ya kuwasilisha maombi hayo ni jamii forums??? we wa wapi?? stupid....badala ya kutake tym kuomboleza, ushawaza ushabiki wa kisiasa,....the guy is a legend....tumheshimu, tusitumie kifo chake kujipatia political gain....
Wewe ndio bure kabisa mimi nazungumzia kumuaga kamanda hujui bila CHADEMA madhubuti nchi ingeyumba na ikumbukwe BOB ndio miongoni mwa waasisi wa chama kibaya kipi. Sidhani kuwa mtu akifariki chama husika kinapata political gain kwa kufanya maombolezo yake. Mungu ampe pumzisho la amani mzee wetu na kamanda wetu Bob Makani
 
CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
:confused2:
 
so umeona sehemu ya kuwasilisha maombi hayo ni jamii forums??? we wa wapi?? stupid....badala ya kutake tym kuomboleza, ushawaza ushabiki wa kisiasa,....the guy is a legend....tumheshimu, tusitumie kifo chake kujipatia political gain....

Mbona ume-overreact kwa wazo zuri sana??!! Wewe ni gamba nini???

Wewe ndiye STUPID!!!!!
 
Chadema hoyee, nadhani tukimaliza hii ya Makani tuombe mungu amchukue mwingine tukaage huko Arusha. Kwa hamasa zaidi tuandamane na jeneza kutoka kwake hadi Jangwani.
 
Ni vyema na haki sana kwa bob makani kupewa heshima anayostahili kwa mchango wake alioutoa kwa chadema na taifa kwa ujumla lakini ni vibaya sana kuutumia huu msiba kama sehemu ya siasa,japo hayo ndiyo yaliyokuwa maisha yake lakini tunaweza kumuenzi kwa njia nyingine na si kuutumia msiba wake kama sehemu ya siasa.lakini pia bob alikuwa na familia nayo isikilizwe inataka mzee wao apewe heshima ya namna gani.r.i.p mzee makani
 
Kwa msiba huu tunaomba mkutano CDM square katika maombolezo ya mpiganaji Bob Makani kwani makamanda huwa hawaombolezi bali wanasonga mbele katika safari ya ukombozi ningeshauri Bob aagiwe hapo Jangwani aka CHADEMA Square wengi tupate fursa ya kumuaga.

Pia tupate muda wa kujuza kazi na imani ya Bob Makani

CHADEMA Hawatakubali hii hoja, ila subiri kuna mtu wa kanda fulani akivuta utasikia!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom