Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
'Mapokezi vituo vya polisi, idara upelelezi, trafiki vinara wa rushwa'. Bado unaamini polisi kuna haki?......... Rutashubanyuma
Last edited by a moderator:
Sasa hiyo Stail ya kushikwa mkono ndipo pesa zinapotolewa hapo akapewa mkubwa muhusika mla rushwa? au ndio kuagana kwa aina gani huko mkuu? Nchi inanuka kwa suala la Rushwa hata ukiuliza wapi toilet utaambiwa towa rushwa uonyeshwe hiyo sehemu ya kujisaidia ahhh hatuna viongozi hapo kwetu.............. gfsonwinHivi umewah kutembelea sehem hizo? utakutana na mabango makubwa yenye ujumbe corruption free zone. Cha ajabu ni kwamba, kila anayeagwa basi lazima aangwe kwa stail a kushikwa mkono. Mimi huwa najiuliza kwanini wasipungiane tu?
Sasa hiyo Stail ya kushikwa mkono ndipo pesa zinapotolewa hapo akapewa mkubwa muhusika mla rushwa? au ndio kuagana kwa aina gani huko mkuu? Nchi inanuka kwa suala la Rushwa hata ukiuliza wapi toilet utaambiwa towa rushwa uonyeshwe hiyo sehemu ya kujisaidia ahhh hatuna viongozi hapo kwetu.............. gfsonwin
Kasheshe kweli Hakim anamuambia Mshitakiwa hivyo awe anamuletea mafuta mpaka atakaporidhika ndipo anaweza kumuachia ahhh nchi yetu kweli imeoza .Tangu alivyokufa Baba wa Taifa basi na nchikabla sijajua nilijua wanaagana tu kumbe rushwa ishawekwa mkononi anapewa muhusika. Kasheshe ni kwamba kuna hakim aliwah kumwambia mshtakiwa kila siku apeleke mafuta ya gari home kwake hadi aridhike ndipo atakapotoa hukumu.
Kasheshe kweli Hakim anamuambia Mshitakiwa hivyo awe anamuletea mafuta mpaka atakaporidhika ndipo anaweza kumuachia ahhh nchi yetu kweli imeoza .Tangu alivyokufa Baba wa Taifa basi na nchi
yenyewe imekufa hatuna Viongozi imara wanayoipenda nchi yao kasheshe kweli Tanzania yetu mbovu kwa akila kitu uongozi hatuna umeme hatuna maji safi hatuna usafiri hatuna yaani Sisi Wa Tanzania tunaishi kama wanyama wa porini hata hao wanyama wa porini wana raha kuliko binadamu anayeishi hapo Tanzania...... gfsonwin