ccm itaendelea kudanganya hivi mpaka lini?

Makirita Amani

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,781
3,074
katika mkutano wa hadhara pale jangwani wasira alisema serikali ya ccm imejipanga kukabiliana na tatizo la sukari kwa kujenga viwanda VITANO(5) vya sukari. kwa miaka hamsini wameshindwa kujebga hata kimoja, na hata hivyo tulivyoachiwa na wazungu wameshindwa kuviendesha. je wataweza kujenga vitano kwenye mwaka ujao wa fedha? na wanaccm bila hata ya aibu wakawa wanashangilia.
 
Bahati mbaya wanawadanganya wananchi ambao wameshajua wanadanganywa!
 
katika mkutano wa hadhara pale jangwani wasira alisema serikali ya ccm imejipanga kukabiliana na tatizo la sukari kwa kujenga viwanda VITANO(5) vya sukari. kwa miaka hamsini wameshindwa kujebga hata kimoja, na hata hivyo tulivyoachiwa na wazungu wameshindwa kuviendesha. je wataweza kujenga vitano kwenye mwaka ujao wa fedha? na wanaccm bila hata ya aibu wakawa wanashangilia.

Mimi siku zote huwa naiambia CCM kwamba "YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOME TIMES BUT YOU CAN'T FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME"
 
Mtaji mkubwa kuliko zote wa ccm ni ujinga na umaskini wa watu wake,wakae wakijua sasa wanaelimishwa ujinga ukiwaisha ccm bye bye.
 
Hicho kilikuwa kikao cha kujipima nguvu na vyama pinzani.
Na inaweza kuwa walitumwa na kikwete.
 
CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
:confused2:
 
Back
Top Bottom