Mh. Dr. Emmanuel Nchimbi

Status
Not open for further replies.

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Habari wanajf? Naomba mtu yeyote mwenye namba ya simu ya Mh. Dr. Emmanuel Nchimbi - waziri wa mambo ya ndani ani-pm! Namba yake binafsi, siyo namba ya ofisi. Tuko pamoja.
 
Nenda kwenye facebook utamuona. wasiliana naye atakupa haja tabu yule Commrade
 
Nenda pale peacock pale alipokamatwa mheshimiwa wa bahi huenda atakuwepo hapo kwasababu inaelekea ni maeneo ya magamba ya kuchukulia mlungula
 
Huna haja ya kupata taabu kama una jambo la msingi nenda physical ofisini kwake uombe appointment nafikiri ndio njia sahihi ya kukutana na huyo Mh.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom